WAHANDISI TOENI USHAURI WA KITAALAMU KWA WANANCHI WANAPOFUNGUA BARABARA KWA NGUVU ZAO- MHANDISI SEFF
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mtwara Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seffย amewataka Wahandisi wa TARURA nchiniย kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wananchi na wadau wa maendeleoย pindi wanapofungua au kutengeneza barabara kwa nguvu zao kwa barabara ambazo hazipo kwenye mtandao unaosimamiwa na TARURA. Mhandisi Seff ameyasema hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KWA mujibu wa ripoti ya uchumi ya mwaka 2023 inabainisha kuwa Asilimia 14 ya watanzania ndio wanaotumia huduma ya malipo ya lipa namba na QR code namba hiyo ikitajwa kuwa chini kutokana na makato ya miamala Ili kurahisha shughuli za biashara kufanyika kwa urahisi benki ya TCB imetambulisha mfumo wa malipo […]
Na Asha Bani WAMACHINGA -DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa amezungumza na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kulazimika kuiomba Serikali kuyapuuza makosa madogomadogo kwenye fomu za wagombea na ikiwezekana waterline na Kamati za Rufaa za Wilaya. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini Dar […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa vyama vyote. CPA Makalla aliyasema hayo leo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imepokea taarifa ya matokeo ya awali ya utafiti kuhusu matumizi ya makaa ya mawe na gesi asilia katika uzalishaji wa mbolea hususan zenye kirutubisho cha naitrojeni kutoka Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo ya Mbolea (IFDC) chenye makao makuu yake nchini Marekani.ย Akizungumza mara baada […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM KUFUATIA uchunguzi uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) imebaini baadhi ya wafanyabiashara wa shisha wanachanganya bidhaa hiyo na dawa mbalimbali za kulevya ikiwemo heroin ili kuiongezea radha na kupelekea madhara makubwa kwa watumiaji. Akizungumza na waandishi wa habari leo,Novemba 12,2024 wakati akitoa taarifa ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 12, 2024 amefanya ziara ya kushitukiza kiwanda cha nguo na mavazi cha Namela Textile Limited kilichopo Gongolamboto Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila amefanya ziara hiyo kwa lengo la kujionea kiwango cha uzalishaji, Ubora wa bidhaa pamoja na malalamiko […]
Na Madina Mohammed Mhe Rais Hakainde Hichilema wa Zambia alizindua kiwanda cha kisasa cha PDV Metals Steel Plant,ambacho walichoingia ubia kati ya PDV Group kutoka China na Nicho Group ya Zambia. Mradi huo ukiwa katika Ukanda wa Kiuchumi wa Lusaka Kusini, wenye thamani ya dola milioni 230 unasimama kama kituo kikubwa zaidi cha uzalishaji wa […]