Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 25)
FEATURE
on Nov 16, 2024
86 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC  limeandaa kongamano la kuwawezasha wananchi kiuchumi ambalo litakalofanyika jijini dodoma disemba 3 na 4 Katika ukumbi wa eleki Ef Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na wadau mbalimbali na mgeni rasmi Katika kongamano hilo ni waziri mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambaye yeye […]

FEATURE
on Nov 16, 2024
205 views 13 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Jeshi la Polisi,Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika […]

FEATURE
on Nov 15, 2024
120 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Simanzi yatanda mazishi yake Nchimbi: matukio ya kutia hofu na shaka, hayakubaliki MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ‘ameumizwa na kusikitishwa sana’ na tukio la kuuwawa kwa Ndugu Christina Alex Kibiki, aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo, […]

FEATURE
on Nov 15, 2024
90 views 40 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amtaka Mkandarasi barabara ya Utete-Kingupira kuwasilisha mpango kazi wake Rufiji, Pwani Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi MAC Contractor Ltd anayejenga Daraja la Mohoro lililopo Wilayani Rufiji  Mkoa wa Pwani kukamilisha ujenzi wa nguzo mbili zilizobakia  kwenye ujenzi wa daraja hilo  […]

FEATURE
on Nov 15, 2024
77 views 2 mins

Na Happiness Shayo – Serengeti Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi ya Barabara ya Utalii km22 uliogharimu takribani 761.3 na Mradi wa ujenzi wa Vituo Viwili  vya kupokea na kukagua wageni(Ikona Gate na Visitors  Gate) uliogharimu takribani shilingi milioni 143.5 katika Jumuiya ya […]

FEATURE
on Nov 15, 2024
80 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asema umekamilika kwa asilimia 99.9* Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa* Asema asilimia 52 ya umeme nchini inatumika kwa mahitaji ya wanachi* Atoa wito kwa jamii kuhifadhi mazingira* Imeelezwa kuwa mradi wa kufua umeme kwa nguvu za maji wa Rusumo unaotekelezwa kwa ushirikiano wa Nchi […]

FEATURE
on Nov 14, 2024
76 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Nov 14, 2024
112 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini Tanzania unatarajiwa kuwa jukwaa muhimu la kukuza uwekezaji, kubadilishana maarifa, na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini. Mkutano huo ni wasita (6), utakaofanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2024 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC),ambapo Utafunguliwa […]

FEATURE
on Nov 14, 2024
83 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa na kauli mbiu  inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Mwaliko huo umetolewa na Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil ambapo […]

FEATURE
on Nov 14, 2024
68 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wanasayansi kuunganisha afya ya Binadamu, Wanyama na Mazingira kwa Matokeo Bora ya Afya -MWANZA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia […]