Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikaliย itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo inakuwa kwa kasi na tija kwa uchumi wa nchi. Majaliwa ameyasema hayo leoย jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassanย kwenye Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Madini ulioanza leo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameonyesha kuwa na matumaini na Serikali kufuatia urejeshwaji wa huduma za kijamii ambazo zilikosekana kwa mda mrefu. Hayo yamebainishwa leo Nov 18, 2024 na Mratibu wa mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) wakili Onesmo Olengurumwa ambapo amesema kwasasa Wananchi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Jumla ya watu 84 wameokolewa na kufikishwa hospital Kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na matibabu naย watu 13 wamepoteza maisha Katika tukio hilo. Amesema serikali itabeba Gharama za matibabu Kwa wote waliojeruhiwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Apongeza wananchi wa kawaida kwa kujitokeza haraka kuokoa watu_ _Serikali, vyombo vyake na taasisi binafsi zapewa heko kwa mwitikio wa mfano_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la kuanguka kwa jengo Kariakoo, akisema kuwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini Bw. Godbless Lema anatuhumiwa na baadhi ya wanachama wa Chama hicho Mkoani Arusha kwa kuongoza kwa Ubabe na kupandikiza watu anaowataka yeye kwenye Nafasi mbalimbali zinazowaniwa kwenye Uchaguzi wa kuchagua Viongozi mbalimbali wa Chama hicho Kanda ya Kaskazini. Lema inadaiwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema watafutiwa leseni, kutaifishwa mali zao na kutoruhusiwa tena kufanya biashara nchini Atoa salamu za pole kwa waarithirika wa ajali ya jengo Kariakoo ๐Dar es Salaam.ย Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema Serikali haitosita kuwachukulia hatua kali Wachimbaji wote na wafanyabiashara wa madini ambao hawatafuata Sheria ya Madini na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema toka jana usiku hadi asubuhi ya leo Novemba 17,2024 watu watano (5) wameokolewa na kupelekwa Hospitali -Awatoa hofu wanaosema zoezi linakwenda taratibu asisitiza vifaa vyote vya uokozi vipo lakini kinachofanyika ni ustadi na akili zaidi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari […]
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UWEZESHAJI TAASISI ZA UMMA YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BENKI YA TCB
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na Mwenyekiti wa kamati hiyo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es salaam. Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia.Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere. Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV. Endelea […]