Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ARUSHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amejizolea umaarufu huku akipongezwa na Taasisi ya haki za binadamu Duniani kwa kuwapa faraja wananchi wa Ngorongoro. “tunapenda kutumia fursa hii kumshukuru na kumpongeza Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua nzuri aliyoichukua ya kutuma wajumbe wake wakati wananchi […]
Na mwandishi wetu.. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM inaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kikiwa na imani kubwa ya Watanzania kutokana na uimara wa chama na uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa uimara wa CCM unatokana na wingi na umakini […]
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo, iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama huo takuja na mapendekezo hayo. Sambamba na hilo Mkuu wa nchi amewataka watendaji wa Serikali kuwajibika kwa nafsi zao katika utoaji wa vibali vya ujenzi akitaka visimamiwe ipasavyo. Rais Saia aliyasema hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema CCM Inaweza Kazi, Ipewe Kura* Rais Samia Ang’ara Miradi ya Maendeleo* Wabunge Waeleza Mafanikio ya CCM Mara* Wananyamongo Waahidi Ushindi CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. […]
Na Lusungu Helela -Rukwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ameupongeza Mkoa wa Rukwa kwa usimamizi bora wa fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kupitia utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini nchini kwa kufuatilia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi inayowanufaisha walengwa wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika_ _Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo_ _Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani_ _Awataka washindi kuwatumikia Watanzania kwa kupinga dhuluma na rushwa_ Katibu Mkuu wa […]
Na mwandishi wetu … RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Sh Milioni 700 kwa timu ya Taifa (Taifa Stars), kufuatia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya wageni wao Guinea, katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za AFCON mwaka 2025,Katika mchezo huo uliochezwa katika Uwanja […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_ Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM Mkoa wa Mwanza tarehe 20 Novemba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kila wilaya kusambaziwa mitungi ya gesi 3,255 Elimu ya nishati safi kuendelea kutolewa 📍Njombe Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi watumie nishati safi na salama. Hayo yamezungumzwa leo Novemba 19, 2024 na Kaimu Katibu Tawala, Mha. Joseph […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA REA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia ipatayo 9,800 mkoani humo itakayoendelea kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Serukamba […]