Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetakiwa kuimarisha matumizi ya teknolojia, na kuhakikisha kwa kiasi kikubwa inafanya shughuli zake kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia hapa nchini na Duniani kote kwa ujumla wake Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Fedha nchini Hamad […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam. Waziri wa Mambo wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa, wakutana na wadau wa mawasiliano yakiwemo makampuni ya simu kujadili kuhusu Makosa ya uhalifu wa mtandaoni mkutano huo umefanyika leo Novemba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesema inatambua mchango wa chuo cha kodi kwenye kutoa mafunzo ya kodi na forodha hivyo kuongeza makusanyo ya kodi kwenye Taifa. Hayo ameyasema leo jijini dar es salaam Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Elijah Mwandumbya akimwakilisha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kwenye Mahafali ya kumi […]
Na Mwandishi Wetu *T Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi* Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati ikiwemo Sekta ya Mafuta na Gesi. Dkt. Mataragio ameyasema hayo […]
Na Mwandishi Wetu – Rukwa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela ametoa wito kwa Wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Chama Cha Mapinduzi. Mhe.Sangu ametoa kauli hiyo leo kwa nyakati […]
Na Mwandishi Wetu TABORA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 22, 2024 na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala, […]
Na Mwandishi Wetu Asema Vyama Vishindane kwa Sera na Utekelezaji wa Ahadi* WanaCCM Bukombe Waaswa Kuimarisha Ushirikiano* Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bukombe* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa kwa miaka yote wananchi wa Wilaya ya Bukombe […]
Na Mwandishi Wetu Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUKWA Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2024 na Mhe. Nyerere mara baada ya uwasilishwaji wa […]