Na Mwandishi wetu, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha kwa wanawake kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2024 yaliyohitimishwa Mkoani Tanga tarehe 24 Novemba, 2024. Katika mashindano hayo NCAA iliwakilishwa na wanariadha watatu ambapo Juliana Lucas aliibuka mshindi wa kwanza kwenye mbio za mita 200 na mshindi wa pili kwenye […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika kesho, Novemba 27, 2024. Akizungumza na vyombo vya habari, Chalamila amesema maandalizi yote yamekamilika, hali ya usalama ni shwari, na vyombo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Mhe. Balozi , Dkt. Pindi Chana (Mb) amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya DCEA Kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Dola,imekamata jumla ya kilogram 2,207,56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya Katika mikoa ya Tanga na Dar es salaam Akizungumza na Mwandishi wa habari jijini dar es […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tanzania kupitia shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji kwenye wa Makutano wa saba (7) wa akimataifa wa jumuiya ya Mamlaka za usimamizi wa usafiri Majini Barani Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 29 novemba hadi 10 Disemba 2024 jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa […]
Bodi ya TAWA yaridhishwa na uboreshaji wa miundombinu ya utalii* Na Beatus Maganja, Arusha. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeanza rasmi utekelezaji wa mikakati ya kuiendeleza na kuiandaaย Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park iliyopo Mkoani Arusha Kwa ajili ya kupokea wageni wengi zaidi kwa kuongeza mindombinu ya utalii hususani barabara, ujenzi wa mabwawa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema baada ya michezo nguvu zielekezwe Novemba 27, 2024* Awataka kuchagua viongozi makini wenye uchungu na maendeleo* Asema CCM ndiyo chaguo SAHIHI* Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANGA Yaibuka Mshindi wa 3 Mchezo wa Kuvuta Kamba (Me) Timu ya wavuta kamba (Me) ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) leo Novemba 23, 2024 imeibuka mshindi wa 3 katika mchezo wa Kuvuta Kamba baada ya kuishinda timu shindani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika mashindano ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia* Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo* Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema CCM haihitaji kubebwa kwani inabebwa na kuuzwa na kazi nzuri zinavyofanywa na madiwani, Wabunge na Rais Samia Suluhu Hassan. Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024 akizungumza na wananchi wa Jimbo la Ukonga […]