Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Novemba 27, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametimiza haki yake ya msingi ya Kikatiba baada ya kukamilisha zoezi la kupiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa viongozi watakaochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia vema nafasi hizo kuwaletea wananchi maendeleo. Makamu wa Rais ametoa wito huo mara baada ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kihanga Kijiji […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza* Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupigakura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika. Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi* Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi* Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametimiza haki yake ya Kikatiba katika Kata ya Bulangwa, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM* Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu* Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo* Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Afunga kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga* Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo* Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM* Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, leo tarehe 26 Novemba 2024, akiwasili katika Viwanja vya Kwamnyani, Mbagala wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga rasmi kampeni za Serikali za Mitaa kwa mkoa huo. Ni mkutano wa mwisho kwa ajili uchaguzi wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi. Katika mchezo huo uliopigwa […]