Uongozi wa yanga umetangaza rasmi kuachana na kocha wake nasredinne nabi baada ya kumaliza mkataba wake katika kikosi hicho. Taarifa iliyotolewa na idara ya habari na mawasiliano wa kabla ya yanga imeeleza kuwa uongozi wa klabu hiyo ulikutana na nabi na kuzungumza naye kuhusu kusaini mkataba mpya lakini nabi ameomba kupewa nafasi ya kwenda kutafuta […]
Ni kweli kwamba, mapenzi yanatesa kuliko kitu chochote katika uso wa dunia hii. Ni mapenzi hayohayo ambayo yana nguvu na maumivu makali kuliko maumivu ya kitu chochote unachokijua chenye kusababisha maumivu. Pia ni kweli wapo watu wengi wameumizwa na kuteswa na mapenzi. Wengine wanaendelea kuteseka na kuumia kila siku. Wengine wanatamani kuyaepuka ingawa hawawezi zaidi […]
Vita ya soka haijawahi kuisha nchini kuanzia ndani uwanja mpaka mtaani kwa mashabiki. Maafisa Habari nao hawajawahi kupoa, ‘Ukiufumba na Kufumbua’ unakutana na taarifa kedekede zilizojawa kejeli, majigambo, utani kiasi kuhusu vilabu vyao vyenye mamilioni ya mashabiki nchini. Thabith Zakaria maarufu kama Zaka za Kazi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Habari na mawasiliano Azam […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira. Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja na ujumbe wake waliomtembelea kwa Kuwasilisha taarifa ya kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu […]
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa idadi ya faru weusi imeendelea kuongezeka kutoka 163 mwaka 2019 hadi 238 mwaka 2022 na hivyo kuvuka lengo la Mkakati wa Kitaifa wa Kuhifadhi Faru 205 ifikapo Desemba 2023. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya […]
Tarehe 10 Mei, 2023, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) iliyokuwa na nia ya kufanya uchunguzi juu ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari. Uchunguzi huo ulifanywa kwa mujibu wa Sheria ya THBUB, Sura ya 391, ambayo […]
Daktari wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Taifa ya Moyo ya Zambia amewasili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) nchini Tanzania kwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wake. JKCI inajiandaa kuanza kutoa huduma za upasuaji wa moyo hivi karibuni na imeweka mkakati wa utekelezaji. Daktari huyo amekuja kujifunza jinsi ya kuanzisha huduma ya upasuaji […]
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara hiyo itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)katika sekta ya michezo nchini ili kuendelea kutoa ajira kwa watu wengi zaidi hatua inayosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Bw. Yakubu amesema katika kikao chake na Mtaalamu wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) Dkt. Shiraishi Tomoya Juni […]
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa nchi zinazoendelea. Mhe. Dkt. Nchemba (Mb) ametoa maagizo […]
Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nchi hizo mbili kipande cha awamu ya tatu cha kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tano cha Kamati ya Pamoja baina ya Wataalamu wa nchi hizo mbili kilianza tarehe 29 Mei 2023 na […]