Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Kilimanjaro na Arusha na kufanikiwa kukamata dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 200.5, bangi kavu iliyokuwa tayari kusafirishwa gunia 978, bangi mbichi gunia 5,465, bangi iliyosindikwa […]
Azam media Kwa kushirikiana na studio za powerbrush kuzindua onyesho la kwanza la kihistoria ambalo litakalofanyika siku ya ijumaa Juni 23,2023 ambalo litakalo fanyika Katika ukumbi WA century sinemax mlimani city dar es salaam. Akizungumza na vyombo vya habari jijini dar es salaam Afisa muendeshaji mkuu Azam yahya Mohammed Amesema tutumie fursa hii Kwa niaba […]
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amevitaka vikundi vya Ulinzi na Usalama vinavyoshiriki zoezi la Ushirikiano Imara WA mwaka 2023 kwa majeshi ya nchi za Afrika ya Mashariki kuhakikisha vinawakilisha vema taifa la Tanzania ili kujenga ushirikiano mzuri na nchi jirani. Akizungumza mara baada ya ufunguzi wa zoezi hilo lililofanyika […]
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa rai kwa Taasisi Simamizi na Vyama vya Kitaaluma kuhimiza na kuwasimamia watumishi kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wananchi. Akizungumza Jijini Dodoma Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, […]
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi amesema ofisi yake haitosita kumchukulia hatua atakayebainika kukwamisha ujenzi wa shule za msingi na ukarabati wa madarasa kwani fedha za ujenzi na ukarabati huo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuboresha […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatahadharisha wananchi kuhusu taarifa zinazozagaa kutoka kwa mtu mmoja kuwa kutakuwa na maandamano siku ya Jumatatu ya tarehe 19 mwezi huu ya kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi WA habari jijini dar es salaam kamishna msaidizi muandamizi WA jeshi la polisi Murilo […]
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu amekutana na wajumbe kwa kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini. Akizungumza jijini Dodoma ambapo timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Bw. […]
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kutambua kuwa wananchi wana matumaini makubwa na uteuzi wao, hivyo wana wajibu wa kuhakikisha wanakidhi matarajio yao na ya wadau wengine kwenye masuala ya sheria. Akizungumza Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman amesema hayo wakati akiwasilisha mada katika Mafunzo […]
NAIBU WAZIRI KATAMBI AFUNGUA KIKAO KAZI CHA KUPITIA MABORESHO YA PROGRAMU YA UKUZAJI TIJA NA UBUNIFU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amefungua kikao kazi cha kupitia na kujadili rasimu ya mwongozo wa kupima tija na programu ya kukuza tija na ubunifu nchini utakaosaidia kuangalia maendeleo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema mwongozo huo pia utasaidia kutoa taarifa […]