Leo, tarehe 1 Desemba 2024, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Maadhimisho haya yanayoratibiwa kitaifa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), mwaka huu yanafanyika mkoani Ruvuma yakibeba kauli mbiu yenye nguvu na matumaini: *“Chagua Njia, Tokomeza UKIMWI.”* Kauli mbiu hii haizungumzii tu mbinu za […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Tume ya Ushindani (FCC) imedhamiria kutoa elimu kwa Watanzania juu ya namna nzuri ya kufanya biashara bila kudidimiza sera na taratibu za ushindani za ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Akizungumza leo Jijini Dar es salaam Novemba 29, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio na waandishi wa habari katika […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Harambe StarsTimu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya Fifa vilivyotolewa Alhamisi na shirikisho hilo la soka duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108, chini kutoka nafasi ya 106 iliyokuwa nayo Oktoba. Kushuka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko amwakilisha Dkt. Mpango Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2024* TBL, BARIC GOLD, TPA Zang’ara Ushindi wa jumla Mwajiri Bora 2024* ILO yashauri Utambuzi wa Sekta isiyo rasmi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza waajiri nchini kuongeza umakini na kuzingatia misingi ya utu mahali […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kapinga asema lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu* Aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Mbungani* Asema miradi ya maendeleo itawafikia wananchi wote bila kuangalia umbali* Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Viongozi wa Serikali na Chama tawala kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vyama pinzani walioshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwani nao wameaminiwa na wananchi. Akizungumza jijini Dar es salaam Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, CPA. Amos Makalla amesema uchaguzi umeisha chama […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA* Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo* IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini* Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza msongamano* Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera – Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.
Na Mwandishi Wetu-Rukwa Naibu Waziri, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ma Utawala Bora Mhe.Deus Sangu amesisitiza umuhimu wa Wananchi wa Jimbo la Kwela kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaojua changamoto zinazowakabili za moja kwa moja katika maeneo yao. Mhe.Sangu […]