Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 189)
FEATURE
on May 30, 2023
802 views 41 secs

Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Angellah Kairuki, na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu L. Nchemba, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kusanifu Mradi Uendelezaji wa Mkoa wa Dar es Salaam awamu ya pili (DMDP 2). Mradi huo unaotarajiwa kuanza kutekelezwa Aprili 2024 utagharimu Shilingi Bilioni 800. Mikataba hiyo imesainiwa kati ya Ofisi ya TAMISEMI […]

FEATURE
on May 30, 2023
186 views 54 secs

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alishiriki vikao vya Bunge jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na mawaziri kadhaa. Miongoni mwa mazungumzo hayo, Waziri Mkuu alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax, ambaye ametoa hotuba na bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Mkuu pia alikutana […]

FEATURE
on May 29, 2023
338 views 2 mins

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo Mei 29, 2023 ameendelea na ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni katika Shule ya wasichana Bunge, ujenzi wa Shule mpya ya msingi katika eneo la Swaswa na madarasa ya awali katika Shule ya msingi Kisasa ambapo ujenzi wake uko katika hatua za […]

FEATURE
on May 29, 2023
223 views 4 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia mipaka na majukumu yao katika utendaji wa kazi ili kuepusha migogoro na miingiliano isiyofaa katika kuwahudumia wananchi. Wito huo ulitolewa wakati Makamu wa Rais alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika […]

FEATURE
on May 29, 2023
414 views 38 secs

Bandari ya Dar es Salaam imefikia rekodi ya kihistoria kwa kuhudumia zaidi ya tani milioni 18 za shehena hadi kufikia Mei 2023. Muda wa kuhudumia shehena umepungua sana na sasa unachukua chini ya siku nne. Mkakati wa maboresho na ujenzi wa miundombinu katika bandari hiyo umesaidia kuongeza ufanisi na kuboresha huduma za bandari. Kina cha […]

FEATURE
on May 28, 2023
155 views 25 secs

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Khamis Hamza Khamisamevitaka vyombo vya habari, taasisi na wadau wa mazingira wa mazingirakuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa utunzaji na uhifadhiwa mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.Akizungumza leo Mei 26, 2023 wakati wa hafla ya zoezi la upandaji miti katikaShule […]