Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, ambayo ni ya awamu ya tano imezinduliwa Leo Jijini Dar es salaam,ambao utafiti Huo unaangazia hupima mahitaji,upatikanaji na matumizi ya huduma za fedha Tanzania Bara na Visiwani. Ripoti hiyo imezinduliwa Leo Jumatatu ya tarehe 10 Katika ukumbi WA BOT Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya […]
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda maslahi yao wakati wote. Mhe.Katambi ametoa wito kwa vijana nchini kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kupitia programu za kuwawezesha na […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala hilo siyo kitu kipya. Ametoa kauli hiyo jana jioni (ijumaa,julai 07,2023)wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya bandari mjini Mtwara. Amesema mwekezaji WA kwanza kwenye bandari ya Dar es salaam ambako uwekezaji unapigiwa kelele, mkataba wake ulikuwa na […]
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tano Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali. โTumejenga vituo vya afya, hospitali za wilaya na sasa tunajenga hospitali kwenye kila Halmashauri ili kusogeza huduma zaidi kwa wananchi. Nia ya Serikali ya awamu ya sita ni kuona wananchi wetu wanapata […]
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama amewataka watu wote ambao wanania mbaya ya kuichafua nchi yetu wanahitajika kupambana nao bila ya kumuogopa mtu yeyote na pia bila ya kumuonea haya mtu yeyote yule. Aidha amewataka Viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge,pia wameshauriwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada […]
Ni Julai 5, 2023 ambapo Kikosi cha Yanga SC kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi. Yanga wamewasili nchini humo kwa Mwaliko wa Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy ili kucheza mchezo wa kirafiki na Timu ya Nyasa Big Bullet ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wa […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Makatibu Tawala wa Wilaya zote Tanzania Bara watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia utawala bora, miiko na maadili ya viongozi wa umma. โKila mmoja akazingatie utumishi wa umma unaongozwa kwa misingi ya sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali ya Serikali. Misingi hiyo, ndio chachu ya ujenzi wa taswira nzuri ya Serikali […]