wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene, amewataka wananchi kuibua miradi ya kimkakati katika maeneo yao ili Serikali iweze kusaidia katika ukamilishaji wa miradi hiyo. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti katika Kata ya Luhundwa, Lufu, Wangi na Wotta, Wilayani Mpwapwa, Mkoani […]
Tanzania imeshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Fedha, Mipango ya kiuchumi na Mtamangano wa Afrika, uliobeba kaulimbiu ya “Afrika baada ya Majanga”: Majadiliano juu ya Uwekezaji, Ukuaji Endelevu wa Uchumi na Ustawi kwa wote”. Mkutano huo uliojumuisha nchi 55 wanachama wa Umoja wa Afrika, umefanyika Jijini Nairobi nchini Kenya. Mkutano huo […]
Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Nicolas Kazadi, kuhusu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza nchini Tanzania hadi Gitega nchini Burundi kupitia Musongati kwenye machimbo ya madini na kipande kingine cha reli kinachokusudiwa kufika […]
Katika kuhakikisha Wakazi wa mkoa wa Mbeya wanapata burudani, Grand Gala Dance wameandaaa tamasha lakusheherekea siku ya mkesha wa Nane Nane jijini Mbeya. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mratibu wa tamasha hilo Mboni Masimba amesema tamasha hilo litawajumuisha bendi za muziki ikiwemo Twanga pepeta chini ya Ally choki pamoja na Malaika […]
wa uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam imeelezwa kuwa maoni ya wananchi yatakusanywa, yale yatakayoonekana yana tija yataingizwa kwenye mjadala wa mkataba ukaoingiwa kwenye uendeshaji huo wa bandari, lakini suala la Serikali kurudi nyuma ni mwiko, bali mambo yatakuwa ni mbele kwa mbele. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu […]
Waziri wa madini Dotto Bitteko Leo amekutana na wanaChama wa Chama cha wachimbaji wa Madini na Wadau mbalimbali wasekta hiyo na kujadili Mafanikio na changamoto za wachimbaji wa madini jijini Dar es Es Salaam Mkutano huo uliofanyika jijini Dar es salaam Katika hotel ya Johar rontana na kuhudhuriwa na Waziri wa Maji ,Nishati na Madini […]
Taaasisi ya jakaya kikwete jkic inayotoa huduma ya tiba ya moyo na upasuaji imetoa mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka wa fedha 2023/2024 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar salama mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Dkt Peter kisenge alisema kutokana na shughuli mblimbali zinazofanywa na jkic serikali imeunga mkono ili kupunguza magonjwa ya moyo Baadhi […]
MKAZI wa kijiji cha Chiwambo, kata ya Lulindi, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Haika Mangeja (62), ameuawa baada ya kuvamiwa na fisi wakati akijaribu kumwokoa mke wake. Wananchi wa kijiji hicho walifika eneo la tukio na kumkuta fisi huyo akiwa anakula mwili wa marehemu eneo la kichwani na kumuua kwa kutumia silaha za jadi. Mwenyekiti wa […]
(ZEC) Jecha Salum amefariki dunia leo. Taarifa zinaeleza Jecha Salum amefariki akiwa katika Hospitali ya Lugalo Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar. Ikumbukwe mwenyekiti huyo aliwahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mwaka 2020, Jecha alichukua fomu ya kugombea […]