Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Magari yanayotumia umeme yawa kivutio Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI YASEMA UNYANYASAJI DHIDI YA WENYE ULEMAVU SASA BASI Wakuu wa Mikoa waagizwa kusimamia mpango wa taifa haki na Ustawi kwa wenye ulemavu Halmashauri zatakiwa kutenga Bajenti ununuzi wa teknolojia saidizi kwa wenye ulemavu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali haipendi kusikia na haitavumilia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ARUSHA AMIRI Jeshi Mkuu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Kamisheni maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Monduli mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo wakuu wa majeshi wastaafu, Mirisho […]
Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM OFISI ya Bunge imefanyia mabadiliko ratiba ya maziko ya Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, ambaye pia ni Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ambaye amefariki usiku wa kuamkia Novemba 27, mwaka huu nchini India, ambapo ratiba ya sasa inaonesha atazikwa Jumamne Desemba 3, […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MWANAMITINDO wa Kimataifa Mellen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion Festival litakalofanyika leovisiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha hilo , Millen Magese alisema kuwa ni heshima kubwa. Alisema kuwa ni furaha kwake kusimama kama Jaji Mkuu […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM NI kampeni za lala salama. Ndivyo unaweza kusema, hasa baada ya vyama vya siasa nchini kupepetana kwa siku saba kwenye majukwaa ya kisiasa kusaka ushawishi kwa wananchi. Kutokana na hali hiyo sasa Watanzania leo wataamua kwa kupiga kura ili kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji huku CCM […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo kupitia kwa Naibu Katibu Vijana Taifa, Ruqayya Nassir leo tarehe 2 December 2024, Jijini Dar es Salaam ametoa rai kwa vijana nchini kupinga dhulma zote zinazolenga kuizika Demokrasia na kuzika matumaini ya kurejeshwa demokrasia ya kisiasa nchini. Ruqayya amesema kwenye masuala haya ya kutekwa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Kongamano la 9 Sayansi, Teknolojiana Ubunifu Asema Watafiti waendelezwe, wasivunjwe moyo Azindua Mfuko wa mikopo nafuu “SAMIA FUND” Norway Yaahidi kuendelea kufadhili utafiti wenye tija Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema umefika wakati kwa Serikali na taasisi na Mashirika kutambua, kuthamini na kutumia tafiti […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff amewataka Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini kufanya ukaguzi na matengenezo ya Miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na TARURA mara kwa mara ili kubaini kasoro na kuchukua hatua za haraka kuondoa kasoro […]
Na Madina Mohammed ARUSHA Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samia Suluhu Hassan Ameunda tume mbili Ambapo Moja atachunguza na kutoa mapendekezo Kuhusu maswala ya ardhi wanayolalamikiwa na wakazi wa ngorongoro.Tume nyengine itaangalia utekelezaji wa zoezi zima la uhamiaji wa hiari kutoka eneo la ngorongoro. Dkt Samia ameyasema Leo ikulu ndogo ya Arusha […]