Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) mzaliwa wa Parokia ya Kabanga, Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na watu wasiojulikana nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigomba, Joseph Mlola, mseminari huyo alikamatwa Agosti 4 mwaka huu katika jimbo la Minna […]
KAMPUNI ya mawasiliano ya Tigo imekuja na njia ya kidigitali ya kumrahisishia mkulima kujifunza namna ya uzalishaji wa mazao bora kwa njia ya mtandao ambapo inatoa mkopo wa simu janja kwa wakulima ambao hutanguliza pesa kidogo ili waweze kumudu gharama za kupata simu hizo. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujifunza kilimo mtandaoni kupitia simu […]
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis amehimiza wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika Mapambano Dhidi ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa kuhusu masuala hayo. Ametoa rai hiyo Agosti 6, 2023 alipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu katika maonesho […]
Ndoa 70 za vijana wasiokuwa na uwezo wa kutoa mahari zimefungwa leo kwa pamoja jijini Dar es Salaam katika moja ya matukio nadra kwa dini ya kiislamu nchini Tanzania katika miongo ya hivi karibuni. Ndoa hizo zimefungwa kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe na kushuhudiwa na maelfu ya watu pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Spika […]
LEO Jumapili linafanyika Tamasha la Simba Day kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali, kisha kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2023/24 kitatambulishwa rasmi, ikifuatiwa na mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya Power Dynamos. Kuelekea tamasha hilo, Wanasimba wameendelea kuwatambia wapinzani wao wakiwaambia: โNjooni muige, Simba raha tupu, sisi […]
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam. Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo waliyopeleka mahari huku akitaja katika Jiji la Dar es Salaam wamepeleka maeneo 32 ukifuatiwa na Mkoa wa Tanga sehemu tano. “Dar es […]
Kauli mbinu ya maonesho hayo ni “Vijana na wanawake ni msingi imara wa mifumo Endelevu ya chakula Madina Mohammed
Meneja Uhusiano na masoko wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Athumani Shariff amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa RUWASA mwaka 2019 wamekuwa kila mwaka wakishiriki maonesho ya kilimo kwa maana ya Nane Nane katika Mikoa ya Simiyu na Mbeya kutokana na mamlaka hiyo kuwa mdau mkubwa wa sekta ya kilimo nchini. Meneja […]
Tanzania yatajwa ni nchi ya pili Afrika Kwa kuwa na ongezeko kubwa la watalii Katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 na Nchi ya kwanza inayofatia ni Ethiopia na ya tatu ni Morocco Pia Tanzania ni nchi ya pili kuingia ushiriki wa mkutano wa shirika la UN la utalii Kanda ya Afrika (UNWTO-CAF) Katika ushirikiano […]