Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 175)
FEATURE
on Aug 9, 2023
267 views 2 mins

MAMLAKA ya Huduma ya Usafiri wa Anga imewahakikishia watanzania kwamba usafiri wa sekta ya Anga ni usafiri salama zaidi kulikos sekta nyingine. Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) Innocent Kyara wakati akizungumza na waandishi wa habari siku ya kilele cha maonyesho ya wakulima katika […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
347 views 2 mins

Mkurugenzi Mtendaji wa MAZAO ya jamii ya kampuni ya kitanzania PULSES NETWORK (TPN) Zirack Andrew amesema jopo la waandaaji wa mkutano wa kimataifa wa chakula ambao utakaofanyika tarehe 10hadi 12 Katika viwanja vya daimond jubilee ambalo linalolenga kilimo Kwa kila mtanzania Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 08,2023 ambapo ilikuwa […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
235 views 3 mins

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kusimamia ipasavyo mpango wa Serikali wa Kuijenga kesho bora kupitia Kilimo (BBT) hasa kwa vijana ambao umeonyesha mafanikio kwa asilimia kubwa. Rais Dkt. Samia amesema hayo leo Agosti 08, 2023 wakati akikagua mabanda mbalimbali kwenye maonyesho ya Wakulima nanenane 2023 […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
412 views 2 mins

Meneja Mauzo na Usambazaji kampuni ya mawasiliano TIGO Mkoa wa Mbeya, Ronald Richard amesema kuwa wanatumia fursa ya siku ya kilele cha maonesho ya kimataifa ya Nane nane 2023 katika Mkoa huo kuhamasisha wakulima kujiunga na TIGO ili kuwarahisishia shughuli za kilimo. Maonesho hayo yanafungwa rasmi leo Agost 8,2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
285 views 2 mins

AFISA mtendaji mkuu wa wakala wa Taifa ya hifadhi ya chakula NFRA Milton Lupa amesema katika kuhakikisha kuwa usalama wa chakula nchini wana majukumu makubwa matatu ambayo kwanza ni kununua na kuhifadhi chakula na pili ni kutoa chakula wakati wa dharura ama wakati wa majanga yanayojitokeza ndani ya nchi na jukumu la tatu ni kuuza […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
323 views 2 mins

KAMISHNA wa kinga na tiba Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini Dr. Peter Mfisi amesema kuwa wapo nane nane kwenye maonesho ya kilimo kwa sababu dawa za kulevya zipo za aina mbili kwamba kuna dawa za kulevya zinazotengenezwa viwandani kama heroin, kokein na dawa zingine lakini kuna dawa zingine zinatokana na […]

FEATURE
on Aug 8, 2023
314 views 4 mins

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ameonyesha kufurahishwa na bunifu zinazofanywa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) pamoja na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) huku akitoa rai kwamba ubunifu hizo sasa ziingie sokoni kutatua changamoto katika jamii badala ya kuonekana kwenye maonyesho mwaka hadi mwaka. Prof.Mkenda ametoa rai hiyo alipofanya ziara yake […]

FEATURE
on Aug 7, 2023
310 views 2 mins

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) John Maige amesema katika msimu huu wa kilimo tayari Bodi hiyo imeshanunua takriban tani 35,000 za mazao mbalimbali ya wakulima hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya kwenye Banda ya Bodi hiyo ,Maige amesema miongoni mwa mazao […]

FEATURE
on Aug 7, 2023
418 views 50 secs

Msanii Diamond platinum amesema wapenzi wa burudani huenda wakamuona alikiba na Harmonize kwenye tamasha la wasafi festival linalotarajia kuanza September 02 2023 mkoani Mtwara mahali ambapo yeye daimond na alikiba walifanya show pamoja kipindi anaanza kufanya show za kulipwa Daimond amesema hayo wakati akizindua msimu mwingine wa Tamasha hilo linalotarajia kuzunguka miji kumi na kukutanisha […]

FEATURE
on Aug 7, 2023
366 views 31 secs

Wito umetolewa kwa wananchi hususani wakulima pamoja na wafanyabishara katika Mkoa wa Mbeya kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda la Brela katika maonesho ya kimataifa ya Kilimo Nane nane 2023 ili kusajili biashara zao pamoja na makampuni. Mkuu wa kitengo cha uhusiano BRELA Roida Andusamile amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda […]