Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wakala Huduma za misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Leo tarehe 29 agosti 2023 Katika ofisi za makao makuu polisi post kamanda […]
WACHIMBAJI wa Madini mkoani Lindi wameiomba Serikali kuongeza nguvu ya umeme hasa katika maeneo ya migodi Ili kuongeza kasi ya utendaji kazi katika uzalishaji wa madini mkoani humo. Akizungumza na waandishi wa Habari Moja ya Kampuni ya wachimbaji wa Madini mkoani humo amesema licha ya changamoto hiyo pia Kuna changamoto ya barabara kuelekea katika migodini […]
KITUO cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimewataka watanzania kote nchini kuweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo kwenye sekta ya madini na kuweza kuzalisha ajira nakuongeza thamani Kwa lengo la kuanyanyua uchumi wa maendeleo nchini. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya soko jipya _kilimahewa wilayani ruangwa katika Mkoa wa Lindi ambapo yanafanyika Maonesho ya madini […]
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa basihaya ndugu Samson Andrew amekabidhi jezi kwa washiriki wa michuano ya adrew supa cup inayofanyika kata ya basihaya bunju jijini dar es salaam Akizungumza na waandishi wa habari wakati akigawa jezi hizo ndugu Samsoni amesema wanamtarajia mbunge wa kawe ndugu Josephat Gwajima kuwa mgeni rasmi kwenye fainali hizo ambazo […]
MKURUGENZI wa kampuni ya vifaa vya ujenzi ya SHEVA HARDWARE MaryStella Temba amewaasa wachimbaji wadogo kutumia vifaa vya usalama sehemu za migodi kwa kufanya hivyo watakuwa salama. Amesema kuwa wamekuwa kwenye biashara hiyo kwa muda mrefu na wamegundua kuwa iko haja ya wachimbaji wadogo kutumia vifaa bora haswa kutoka kwao kwasababubu vinaubora wa hali ya […]
Jumla ya Vijiji vipatavyo 11 kutoka Kata 4 Naipanga, Chiumbati, Rahaleo na Stesheni Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi vinatarajia kunufaika na mradi wa huduma ya maji safi na salama wa Naipanga wenye jumla ya thamani ya sh.bil.1,187,057,785 Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa Wakala wa Maji na usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA ) Wilayani hapo na […]
ZAIDI ya shilingi bilion kumi na moja zimetumika katika mwaka wa fedha 2021/2022 katika ujenzi wa barabara zinazoelekea katika maeneo migodi Wilayani Rwangwa mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya madini yanayoendelea katika wilaya ya Rwangwa ,Meneja Tarura Wilaya ya Rwangwa Mashaka Narubi amesema kuwa pia mwaka huo huo wa fedha 2021/2022 […]