WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kama ilivyoelekezwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020/2025 wawe wameshaanzisha kabla ya mwaka 2024. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Viongozi na Watendaji Wakuu wa […]
Tanzania inatarajia kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boing B 737-9 Max ambayo itapokelewa katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julias Nyerere Oktoba 3,2023. Mapokezi hayo yataenda sambamba na uzinduzi wa ndege mbili za mafunzo aina ya Cessna 1725 ambazo zitakabidhiwa kwa chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) Hayo yamesemwa Leo na waziri […]
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inaandaa mkakati mpya wa ukusanyaji mapato utakaolenga kuongeza mapato ya Taasisi hiyo mara dufu ya makisio yake ya Mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yamesemwa Leo Oktoba 1, 2023 na Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda katika kikao kazi na wakuu wa Kanda na wakuu wa mapori […]
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo Jijini Dar es Salaam ambapo janga hilo la moto limetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na baadhi ya bidhaa zilizokuwemo katika Jengo hilo. RC Chalamila akitoa taarifa ya Serikali kufuatia […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]
-MRADI WAFIKIA ASILIMIA 99.7 -MTAMBO MMOJA KATI YA MITATU WAWASHWA Mawaziri wa Nishati kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mawaziri hao, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo wamefanya kikao cha ngazi ya Mawaziri na kukagua mradi wa umeme wa Rusumo utakaozalisha megawati 80 na kila […]
Traditional Dances Festival* ” ni kichocheo kikubwa katika kukuza ajira na utalii nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameyasema hayo wakati akihitimisha tamasha hilo lililoambatana na mbio za “Tulia Marathon” lililofanyika leo Septemba 30,2023 jijini Mbeya. “Tamasha hili ni moja ya zao […]