Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 171)
FEATURE
on Sep 14, 2023
471 views 2 mins

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania-TIRDO Prof. Mkumbukwa Mtambo ameahidi Shirika lake kuendelea kutoa elimu ya matumizi wa mkaa rafiki katika Mikoa yote ya TANZANIA . Prof. Mtambo amesema hayo katika hafla ya kufunga mafunzo ya siku tatuna kutoa vyeti kwa wajasiriamali 28 kutoka Mikoa 12 ya Tanzania . Semina […]

FEATURE
on Sep 14, 2023
372 views 3 mins

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo kushirikiana ili kuongeza ufanisi katika utendajikazi wao na hatimaye kufikia malengo waliyopangiwa. Ameeleza hayo Septemba 14, 2023, wakati akizungumza katika Kikao cha Watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema kuwa, Wizara ina vitu vikubwa inavyotakiwa kufanya […]

FEATURE
on Sep 14, 2023
269 views 2 mins

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini. Amesema kuwa kupitia utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Tanzania, unaolenga kupunguza ukosefu wa ajira kutoka 9% hadi 8% ifikapo 2025/26, Serikali inatarajia kutimiza […]

FEATURE
on Sep 13, 2023
514 views 14 secs

Ufaransa imeamuru kusitishwa mara moja kwa mauzo ya simu zote za Apple aina iPhone 12 kutokana na kugundulika kuwa na mionzi mingi ya sumakuumeme (electromagnetic) ambayo si salama kiafya kwa watumiaji wake. Shirika la uangalizi la Ufaransa (ANFR) liliiambia kampuni ya Apple kurekebisha simu zilizopo na kuipa ushauri kampuni hiyo, ikiwa haiwezi kutatua suala hilo […]

FEATURE
on Sep 13, 2023
336 views 2 mins

Kampuni ishirini na tano (25) zilizopewa nyaraka za zabuni Kupitia mfumo wa ununuzi serikalini (TANePS) ambazo kampuni 17 zilifanikiwa kuwasilisha nyaraka za zabuni Jumla ya kampuni tano zimetia saini makubaliano ya uchimbaji wa makaa ya mawe Katika mradi wa mchuchuma ambayo mikataba hiyo itadumu Kwa Muda wa miaka mitano Akizungumza na waandishi wa habari jijini […]

FEATURE
on Sep 12, 2023
621 views 4 mins

TIRDO na REPOA imeandaa kozi ya mafunzo ya uzalishaji wa Mkaa Mbadala (Biomass Briquettes) ambayo ni nishati safi kwa matumizi ya majumbani, taasisi na hata viwandani. Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha umuhimu Kwa ustawi wa uchumi na mazingira na afya Kwa ujumla na uzalishaji Bora wa mkaa mbadala ambao unaotumia malighafi za taka za kilimo na […]

FEATURE
on Sep 12, 2023
217 views 3 mins

Wizara ya maendeleo ya jamii Jinsia na makundi maarum ambayo imetenga kiasi kidogo Cha fedha Kwa ajili ya maendeleo ya wanawake WDF ambayo inaleta muongozo wa Asilimia kumi unaoboreshwa na unaungana na mwongozo wa mfumo wa wanawake ambalo lengo ni kuondoa wizara ambazo zinazofatilia mtu mmoja mmoja zipite Katika mabank na wapate mafunzo na elimu […]

FEATURE
on Sep 12, 2023
277 views 52 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya kazi za ujenzi na matengenezo ya Barabara TARURA Mkoa wa Dar es Salaam yenye thamani ya Tshs.21,260,364,932.43 katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa DMDP Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila akiongea wakati wa hafla […]

FEATURE
on Sep 11, 2023
343 views 58 secs

Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha, semina hiyo ililenga kutoa uelewa kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na OSHA na namna taasisi hiyo iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu […]