Mkutano wa mashirika yasiyoya kiserikali ENGO’S zimeungana Kwa pamoja Ili kuweza kupambana na magonjwa ambayo hayagewi kipaumbele Magonjwa hayo ni mabusha,matende,kichocho na ugonjwa wa vikope wa macho Trakoma ambazo jitihada zimeendelea kufanyika kama Tanzania imekuwa wenyeji Kwa mara ya kwanza Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 19 September 2023 Mkurugenzi […]
Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi nchini Tanzania kujifunza Uongezaji Thamani wa Madini ya Vito katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) cha jijini Arusha. Ameyabainisha hayo wakati wa mazungumzo yake na viongozi wa kituo cha TGC baada […]
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA)imevifungia vituo vitatu vya kuuza mafuta kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuchelewesha kufikisha mafuta vituoni na wengine kukaa nayo mafuta kwenye visima vyao Kutokana na ufichaji wa mafuta EWURA imevichukulia hatua vituo 8 ambavyo vimejihusisha na tabia ya kuficha mafuta Hatua hiyo imekuja ikiwa na siku chache […]
– Ziara imekuwa na Mafanikio Makubwa. – Azindua Miradi iliyogharimu mabilioni ya Pesa. – Asema Serikali imedhamiria kufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi. – Wananchi wamshukuru na Kusema Ziara imekuwa neema kubwa kwenye Mkoa wao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani […]
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Simiyu. Mhe. Kikwete amezitaka halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya maendeleo hususani kwenye sekta ya huduma za jamii kujifunza kutoka Mkoa wa Simiyu ambao […]
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko imefanya ziara ya Ukaguzi wa kikosi cha Mbwa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ili kujionea shughuli zinazofanywa na kikosi hicho katika eneo hilo, kuhakiki ufanisi wake na kuboresha utendaji Akizungumza […]
Meridianbet kampuni ya Michezo ya kubashiri mtandaoni imeingia kipekee Kwa kushirikiana na Halopesa Kwa kutoa huduma za malipo Kwa mtandaoni ya simu Imezindua promosheni ya kibabe ya MERIDIANBET JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA ambayo inawapa wateja wa meridianbet njia isiyo na vikwazo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo ijumaa 15 September 2023 […]
Wizara ya Maliasili na Utalii nchini kupitia mradi wa Kuboresha usimamizi wa Maliasili na kukuza Utalii Nyanda za juu Kusini (REGROW) imechagiza uanzishwaji wa vikundi vya kijamii vilivyoanzisha mazao mapya ya Utalii kama vile ngoma za asili,vyakula vya asili, bidhaa za kiutamaduni kwa lengo la kuinua wananchi kiuchumi pamoja na ulinzi wa Maliasili nchini. Akizungumza […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma za afya kwa Watanzania. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa mpango mkakati huo ambao unatarajia kugharimu dola la kimarekani milioni 458 kwa miaka yote […]