Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe, Selemani Jafo amemuelekezea katibu Mkuu wizara ya hiyo kuwasilisha changamoto zote za kisheria na kanuni zinazo kwamisha wafanyabiashara kushidwa kushiriki vizuri katika upande wa ushindani na zitafutiwe ufumbuzi ili kuhakikisha sekta ya biashara inakuwa nchini. Waziri Jafo ametoa maagizo hayo leo jijini Dar es salaam […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) Dkt. Jafo asema maendeleo ya Viwanda yanategemea uwepo wa Nishati ya kutosha Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati uliohusisha Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo […]
Na Kassim Nyaki NCAA Kufuatia Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kuzindua msimu ya kampeni ya kuhamasisha utalii kwa wananchi kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka vijana wa Action Rollers Skates wako katika mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha kutangaza kampeni hiyo. Vijana hao ni sehemu ya njia mbalimbali zinazotumiwa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katika kuadhimisha kumbukumbu ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kupitia Kampeni ya “TWENZETU KILELENI” inapeleka Tuzo za ubora katika paa la Afrika, Tuzo zilizotolewa na World Travel Award, TTB imeshinda kama Bodi Bora Barani Afrika kwa miaka mitatu mfululizo (2022,2023 na 2024), zoezi hili […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAG Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua utekelezaji wa miradi ya umeme wilayani Monduli* Asema fedha za miradi ya umeme zitasimamiwa ipasavyo kutekeleza ajenda ya umeme kwa wote* Ampongeza Dkt.Samia kwa hatua kubwa iliyopigwa umeme vijijini* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema umeme ni ajenda kubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita inayolenga kufikisha umeme […]
Na. Lusungu Helela- Dodoma Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amesema Wananchi walio wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya Kijamii kufikisha malalamiko yao kwenye Taasisi za Serikali kutokana na baadhi ya Watumishi wa Umma kuvujisha siri za wateja wao pindi wananchi hao wanapotumia mifumo rasmi […]
Na mwandishi wetu … Dodoma Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation Samia (Gen S) imezinduliwa rasmi, Desemba 2, 2024, jijini Dodoma, kwa lengo la kuwaunganisha vijana wa Kitanzania kutoka sekta mbalimbali na kuwajengea mtandao wa fursa za maendeleo. Akizungumza katika uzinduzi huo, msemaji wa @Gen_samia, Sonata Nduka, amesema programu hiyo inalenga kuwa chachu ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka watumishi kuchapa kazi kutimiza lengo la Serikali Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za VIjijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewashukuru Watanzania wote waliojitokeza na kumpigia kura wakati akiwania tuzo za Mtendaji/Mkurugenzi Mkuu Bora wa mwaka 2024 kati ya Wakurugenzi 100 walioteuliwa kuwania tuzo hizo (Top 100 Executive […]