Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 168)
FEATURE
on Sep 28, 2023
520 views 2 mins

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kazi ya kuunganisha mkoa wa Morogoro na Iringa kupitia Wilaya ya Kilolo baada ya kufungua Barabara ya Mhanga–Mgeta yenye urefu wa kilomita 17.5 ili kuwezesha wananchi kusafiri kwa urahisi na kufikisha mazao yao sokoni. Meneja wa TARURA Mkoa wa Iringa, Mhandisi Makori Kisare amesema kuwa lengo […]

FEATURE
on Sep 28, 2023
422 views 42 secs

ZAIDI ya Shilingi za kitanzani Bilioni 5 zimewekezwa katika Maabara ya MSALABS inayopima sampuli za Madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani Geita. Hayo yamebainishwa Septemba 27, 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maabara ya MSALABS Mugisha Lwekoramu wakati wa ufunguzi wa Maabara hiyo iliyoanzishwa mwaka 2020 ikiwa ni kampuni tanzu ya MSALABS yenye makao […]

FEATURE
on Sep 28, 2023
699 views 3 mins

KAMPUNI ya Ulinzi ya Nguvu Moja security services limited inayojishughulisha na masuala ya ulinzi imeelezea mafanikio ya kampuni hiyo ikiwa ni pamoja kupata tuzo ya kampuni bora inayozingatia masuala ya afya na usalama mahala pa kazi. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya sita ya teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
313 views 5 secs

Msanii mkongwe wa filamu nchini Yvone Cherrie ‘Monalisa’ , ameandaa Usiku wa Tuzo za Wanawake Novemba 23 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Monalisa amesema zitafanyika ukumbi wa Super Dome Masaki na kwamba ni nafasi ya wanawake kuonekana kwa kile wanachofanya. “Nimeandaa tuzo za wanawake vinara kwenye sekta ya sanaa, […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
325 views 42 secs

Wanajeshi wamehamishwa kutoka kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali kufuatia shambulio la watu wenye silaha, jeshi la taifa hilo limesema. Wanajeshi wa Mali waliwakabili washambuliaji huko Acharane, eneo karibu na mji wa kale wa Timbuktu, taarifa ilisema. Bado haijabainika iwapo watu hao wenye silaha walikuwa wanamgambo wa Kiislamu au waasi wa Tuareg. Makundi yote mawili […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
308 views 9 secs

Kituo cha kwanza rasmi cha matumizi ya dawa za kulevya nchini Uingereza ikiwa ni pamoja na heroini na kokeini kimeidhinishwa na mamlaka huko Glasgow. Kituo hicho kinaungwa mkono na serikali ya Scotland kama njia ya kukabiliana na janga la vifo vinavyotokana na dawa za kulevya nchini humo. Mpango huo wa majaribio utakuwa katika kituo cha […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
469 views 2 mins

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) katika mwaka wa fedha 2023/2024 unatajia kujenga jengo la ghorofa la biashara na makazi katika Mkoa wa Geita. Akijibu swali la Mbunge wa jimbo la Geita mjini Mhe. Constantine Kanyasu alipotembelea katika banda hilo katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini yanayaofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Halmashauri ya […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
291 views 35 secs

Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zimepata dhamana ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027). Akiongea mara baada ya kutangazwa matokeo hayo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe, Waziri wa Utamaduni, Sanaa Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mpambano ulikuwa mkubwa na hatimaye EA Pamoja Bid […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
354 views 2 mins

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza ujenzi wa Barabara ya Kiwira–Landani kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km 5 pamoja na daraja lenye urefu wa mita 40 kwa gharama ya shilingi bilioni 5.7 Wilayani Ileje ili kurahisisha shughuli za kijamii na kiuchumi. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Songwe, […]

FEATURE
on Sep 27, 2023
260 views 25 secs

Takriban watu 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Bibi harusi na bwana harusi wanaripotiwa kuwa miongoni mwa waathiriwa, kulingana na vyombo vya habari vya ndani ya nchi hiyo. Moto huo ulitokea katika wilaya ya Al-Hamdaniya katika mkoa wa Nineveh kaskazini […]