KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imekamilisha ujenzi wa bomba kubwa la kusafirisha nishati ya gesi kutoka kwenye meli bandarini kwenda kwenye kiwanda cha gesi ya kampuni hiyo kilichopo eneo la kigamboni jijini Dar es Salaam na hivyo kupunguza muda wa kupokea gesi bandarini. Kukamilika kwa ujenzi wa bomba hilo kubwa lenye ukubwa wan chi 10 […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Balozi Samantha Power, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Katika mazungumzo hayo Makamu wa Rais amesema serikali ya Marekani kupitia USAID imekuwa mdau muhimu […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi na kwa haraka kuhusiana na tukio la kupotea kwa binti Esther Noah Mwanyiru ambaye alikuwa akisoma shule ya sekondari ya Panda Hill mkoani humo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Juni 22, […]
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amefanya mahojiano na waandishi wa habari Katika ofisi zake Leo tarehe 22,2023 zilizopo Jijini Dar es salaam Akizungumzia mambo mbalimbali yakihusiana na mambo yake ya kazi na Moja ya mambo hayo na uwekezaji wa bandari akitoa ufafanuzi Wakati shughuli ya sakata la bandari likiwa linaendelea kila Kona watu […]
Benki Kuu ya Tanzania imebaini kuwa kuna baadhi ya taasisi, kampuni na watu binafsi wanaojihusisha na biashara ya kutoa mikopo bila ya kuwa na leseni, jambo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 16(1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. Taarifa hiyo imetolewa na Gavana WA Bank kuu ya Tanzania anawasamba taasisi, […]
Akizungumza Jijini Dar es salaam Katika soko hilo la samaki feri mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amesema wakati akitoa changamoto nyingi Katika soko hilo amesema Halmashauri ambayo Kwa nchi nzima hakuna Halmashauri yenye mapato mengi Zaidi ya Ilala inamapato mengi Zaidi ya shilingi billion 81 na ndio inayolisha MKOA mzima WA Dar es […]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Juni 21, 2023 amepokea taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kupitia, kuchambua na kutoamapendekezo ya kutatua changamoto za wafanyabiashara nchini. Taarifa hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti wa kamati, Dkt. John Jingu ambaye pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Mkutano huo […]
MWENYEKITI wa chama cha wananchi the civil United Front (Cuf) Prof Ibrahim Lipumba amekemea vikali kuhusisha suala la mkataba wa kampuni ya Dp world ya nchini Dubai na Bandari ya Dar es Salaam (TPA) kuwa suala hilo Halina uhusiano wa uzanzibari nakusisititiza kuwa suala hilo linalohusu nchi ya Tanzania. Akizungumza na Waandishi wa habari kwenye […]
WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]
WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali wasiwe kikwazo na waendelee kutoa ushirikiano viongozi wa dini na wawekezaji wa ndani na nje ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini ArushaAmesema […]