Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 166)
FEATURE
on Jun 27, 2023
486 views 3 mins

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent L. Bashungwa ametembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa kimataifa wa Golf unaotekelezwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) eneo la Ihumwa, Jijini Dodoma. Mradi huo, unajumuisha viwanja 18 vya mchezo wa Golf, Hoteli kubwa yenye hadhi ya […]

FEATURE
on Jun 27, 2023
165 views 3 mins

Wasomi na wanazuoni wameliomba Jeshi la Polisi kuendana na mabadiliko ya duniani ya sasa ambayo imejikita zaidi katika tehama na tafiti ambazo zitaleta tija katika jamii na Taifa kwa ujumla husasani katika kukabiliana na uhalifu ukiwemo wa kimtandao ambao umeshika kasi kwa sasa Akizungumza mara baada ya kukabidhi vitabu zaidi ya mia tano vilivyo katika […]

FEATURE
on Jun 27, 2023
267 views 4 mins

Wakuu wa Wilaya za Lindi na Mtwara wameziagiza Taasisi zilizoko Mikoani humo kuhakikisha wanalipia gharama za huduma wanazopatiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ili kuuwezesha Wakala huo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Wakuu hao wa Wilaya, wameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati wa vikao vya wadau vilivyoandaliwa na TEMESA na kufanyika katika Wilaya zao […]

FEATURE
on Jun 27, 2023
331 views 35 secs

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023. DSC_0260 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya […]

FEATURE
on Jun 26, 2023
315 views 3 mins

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mjadala huo. Akizungumza kwa mara ya kwanza katika mahojiano maalumu ofisini kwake Dodoma, Jaji Feleshi amesema kuwa […]

FEATURE
on Jun 26, 2023
205 views 3 mins

Naibu katibu mkuu wa wizara ya viwanda na biashara Dr.Hashili Abdallah amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan,kwa jitihada zake za kuifungua nchi ambapo tumeshuhudia ujio wa wawekezaji mbalimbali kutoka nje ya nchi wakija kuwekeza hapa nchini. Miongoni mwa jitihada za makusudi zilizotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita ni pamoja na kufanya mapitio ya Sera, Sheria […]

FEATURE
on Jun 26, 2023
253 views 2 mins

 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 24, Juni 2023 imetekeleza wajibu wake kwa jamii kwa kufanya usafi katika Soko la Buguruni, Ilala jijini Dar es Salaam. Katika kutekeleza zoezi hilo BRELA imetoa vifaa mbalimbali vya usafi na kuungana na wafanyabiashara wa soko hilo kufanya usafi. Akitoa salam za Afisa Mtendaji Mkuu […]

FEATURE
on Jun 25, 2023
230 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu waliopo kwenye Banda la Maonesho la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kuhusiana na kazi mbalimbali ambazo Mamlaka hiyo inafanya katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo […]

FEATURE
on Jun 24, 2023
169 views 3 mins

Msemaji mkuu wa serikali Leo tarehe 24 jumamosi juni 2023 ameongea na waandishi wa habari Katika ofisi za idara ya habari maelezo zilizopo posta Jijini Dar es salaam Akizungumzia juu ya maswala ya uwekezaji bandarini. Msigwa amesema Hali ya nchi yetu Kwa ujumla ipo shwari serikali inazidi kutoa huduma za kijamii kama kawaida ambazo ni […]

FEATURE
on Jun 24, 2023
178 views 3 mins

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo leo ijumaa ya tarehe 23 juni 2023 amewatembelea wafanyabiashara WA soko la karume la mchikichini lililopo Jijini Dar es salaam kutatua changamoto za wafanyabiashara Mkuu wa wilaya amesema Kuna vizimba Zaidi ya 2400 kungekuwa hakuna vizimba hivyo ingekuwa watu 2400 hawana kazi nawapongeza nyie watu 2400 mumeajiri na […]