Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama nchini. Rostam ameomba radhi saa chache baada ya JMAT kutoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari, kikimtaka mfanyabiashara huyo athibitishe tuhuma alizotoa dhidi ya Mahakama au aombe radhi hadharani. Rostam,Juni 26, mwaka huu mbele […]
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) CPA Habibu Suluo amesema mabasi 38 kampuni ya New Force Enteprises yamefutiwa ratiba za alfajiri ambapo mabasi 10 ni yale yanayoanza safari saa 9.00 alfajiri na mabasi 28 yanayoanza safari saa 11.00 alfajiri. Aidha, kuanzia tarehe 5 Julai, 2023, mabasi hayo yatafanya safari zao kuanzia saa […]
Mashindano Kimwanga CUP ambayo yalikuwa yakitimuwa vumbi kata ya Makurumla yametamatika siku ya jana baada ya Timu ya Mingle FC kunyakuwa kikombe kwa kuichapa Ting Wayland Magoli mawili kwa sifuri mchezo uliochezwa uwanja wa Bubu. Katika fainali ya michuano hiyo iliyoteka hisia za mashabiki lukuki wa soka katika Kata ya Makurumla pamoja na kata jirani […]
Katika siku za karibuni kumekuwa na taarifa za utapeli zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa Mpango wa Rais wa Uwezeshaji wa Vijana, Taarifa hiyo yenye kichwa cha habari โMpango wa Rais wa Uwezeshaji Vijanaโ, inawahamasisha Vijana kuomba Ufadhili wa kitaifa wa uwezeshaji vijana 2023 kupitia Tovuti yenye anuani;(https://youth.empower.tzn.formsite.online) kwa ajili ya zoezi la […]
Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mohamed Salum Leo ijumaa ya tarehe 30 amefanya mahojiano na kituo kimoja Cha television kilichopo dar es salaam Katika kufafanua na kufungua baadhi ya vifungu vya Sheria katika mkataba wa bandari huo Amesema ni kweli ibala ya 22 ya mkataba inaongelea substitute management marekebisho ya ibala […]
Taasisi ya Haki za Wasanii (TARO) wamekutana na Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria na kuwasilisha mapendekezo ya wadau wa sanaa juu ya Marekebisho ya Sheria ya Sanaa namba 23 ya mwaka 1984 Ili kuendana na uhuru wa sanaa kama msingi wa haki za binadamu. Akizungumza Katika kikao hicho Leo ijumaa tarehe 30 Mkurugenzi […]
Mwenyekiti wa chama Cha wakala wa meli Tanzania (TASAA) Daniel Mallongo amesema mawakala wa meli Nchini Tanzania wanasubiri Kwa hamu uwekezaji wa kampuni ya Dp world kwenye uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam. Amesema Dp World ni kati ya kampuni tatu kubwa duniani ambazo zinazoendesha bandari mbalimbali “Dp world inaendesha takribani bandari 64 duniani […]
Mashirika yasiyo ya kiserikali Kwa kushirikiana na serikali wamefanya mkutano maarumu Kwa ajili ya wadau na kuwapa somo wadau hao Kwa ajili ya kulipa kodi na kutatua changamoto mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari Leo ijumaa ya tarehe 30 mwenyekiti WA bodi ya uratibu WA mashirika yasiyo ya kiserikali Tanzania Mwamtumu Mahiza amesema mashirika yasiyo […]
Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam Askofu Josephat Gwajima ameipongeza Serikali kwa kupelekea huduma ya usafi wa haraka (Mwendokasi) katika jimbo lake ambapo utiaji saidi wa ujenzi wa barabara zake umefanyika leo Juni 30, 2023 na kutaja awamu ya kwanza ya mradi huo itakuwa ni ujenzi wa kipande cha kutoka Mwenge hadi Ubungo ukigharamiwa kupitia […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia, kubaini na kupambana na vitendo vya kihalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda WA polisi Kanda maarum muliro jumanne muliro amesema Operesheni kali maalum iliyoanza mwezi Aprili, 2023 na inayo endelea katika […]