Ofisa mtendaji mkuu wa Simba SC Imani kajula ametangaza kuwa jezi mpya za Simba SC za msimu wa 2023/24 zitakazozinduliwa rasmi tarehe 22 Katika kilele Cha mlima Kilimanjaro. Jukumu la kupeleka jezi Katika kilele Cha mlima Kilimanjaro amekabidhiwa meneja wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally. Kajula amesema hayo Leo jijini […]
Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof.makame mbalawa amesema Tarehe 10 juni mwaka huu Bunge la yamhuri ya Muungano wa Tanzania lililidhia Azimio la makubaliano kati ya serikali ya Muungano Tanzania na serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi wa kijamii kwa ajili ya Utekelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari Tanzania pamoja na kuridhiwa […]
Sakata la bandari likiwa linazidi kuendelea viongozi mbalimbali, wanasheria,pia wanaharakati wanazidi kuliongelea swala hilo la bandari na kuzidi kutoa ufafanuzi wa kina Ili wananchi waelewe kuwa bandari haiuzwi Bali ni uwekezaji ambao utakuwepo baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai. Wahariri mbalimbali nao wameweza kutoa maoni Yao wakilizungumzia swala hilo Ili kuwaelimisha jamii […]
Ubongo Kids yasherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ikiwa na mafanikio makubwa ya kuenea nchi 23 na kuzifikia familia milioni 32 kote duniani. Ubongo Kids ambayo imekuwa kinara hapa nchini kutokana na umahili wa kuandaa maudhui ya kuelimisha na kuburudisha kwa vipindi kwenye televisheni wamesherekea mafanikio hayo kwa kuzindua silizi mpya ya NUZO na NAMI […]
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma (PIC) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry Silaa amesema nchi yetu inakatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inayotoa mamlaka Kwa kila aliepewa mamlaka na katiba,katiba hiyo imeazimishwa na mamlaka lakini vile vile mamlaka hayo wakitumia Demokrasia Kwa […]
Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 13 za Tanzania Bara kesho Julai 13,2023. Jumla ya wapiga kura 74,642 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huu mdogo na jumla ya vituo 205 vya kupigia kura vitatumika. […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewahakikishia Wabunge wa Zanzibar kuwa Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMTZ) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zitaendelea kuweka mifumo wezeshi ya upatikanaji wa fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo ili kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati. Waziri Jafo ameyasema hayo […]
Ukimwi ni swala ambalo watu wengi wanalifikilia na kuitaji kuhakikisha wanaweza kulidhibiti ugonjwa huu wa ukimwi Kwani taasisi mbalimbali wakiwapa elimu wananchi kuhusiana na swala hili la janga la ukimwi WHO ni shirika la afya linajitahidi sana kutoa elimu Kwa wale ambao walioathirika na kuwapa matumaini ya kuishi tena kwani kupata ukimwi sio kufa. Mtanzania […]
Mkurugenzi wa ufundi wa kampuni ya double Eight LTD Marshalo V. Chikoleka Amesema swala la bandari limebeba uchumi wa nchi yetu ya Tanzania ni sehemu ambayo inayoonyesha Kwa miaka yote ni sehemu ambayo ni maarum inayobeba uchumi wetu Kwa kiasi kikubwa sana. Akiyazungumza hayo jijini dar es salaam Leo (jumanne 11 julai 2023) amesema bandari […]