Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa mwaka 2023, Abdalla Shaib Kaim, amempongeza Mbunge wa jimbo Kiteto Mkoani Manyara Edward Ole Lekaita kwa kushiriki Kikamilifu kwenye shughuli ya Kitaifa za kuupokea na kukimbiza mwenge wa uhuru ulipokua Wilayani Kiteto hadi kukabidhiwa kwake katika Wilaya ya Simanjiro. Kaimu ameyasema hayo Jana wakati alipokua akiagana na […]
Kampuni ya SUMAJKT Bottling co. Ltd, inayozalisha maji ya Uhuru Peak Pure Drinking Water, imezindua mikondo miwili ya uzalishaji maji na Muonekano mpya wa chupa za maji ya Uhuru Peak, Akizungumza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali CDF Jacob John Mkunda wakati wa uzinduzi wa mikondo miwili ya uzalishaji maji, amesema Serikali ina matarajio makubwa […]
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dkt. Anthony Diallo wameanza ziara ya kikazi mkoani Katavi. Akieleza kwa nyakati tofauti lengo la ziara hiyo iliyoanza tarehe 14 Oktoba, 2023, Dkt. Diallo amesema, imelenga katika kujifunza namna tasnia ya mbolea inavyosimamiwa, kusikiliza na kutafutia […]
Azindua mtambo mpya na wa kisasa wa mabati ya rangi Ajira 500 kutolewa katika mtambo huo Asisitiza Sekta Binafsi kujenga uchumi imara Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi hususan kwenye Sekta ya Viwanda. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]
Dar Es Salaam Serikali imesema itaendelea kuboresha huduma muhimu katika maeneo ya vijijini ili kuwapa fursa wananchi hasa Wanawake kushiriki katika shughuli za kiuchumi kufikia maendeleo endelevu na jumuishi kwa wote. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mkoani Dar Es Salaam, Oktoba 12, […]
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Octoba 12, 2023 kwa wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) alipotembelea kuona ufanisi wa mabasi hayo katika kutoa huduma kwa wakazi wa Dar es Salaam. RC Chalamila amesema mtoa huduma amekuwa akilipwa fedha katika mradi huo hivyo sio vema kuwa na […]
Asisitiza Watanzania wanataka umeme Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme wa Msongo wa kilovoti 400/220/132/33 wa kituo cha Chalinze umefikia asilimia 84.3 na hivyo kuleta matumaini ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2023 na […]