Jumuiya ya wafanyabiashara ya maduka Kariakoo, Dar es Salaam imezindua kampeni yenye jina la Mama Tuvushe 2025 yenye lengo la kumsapoti na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mambo mengi aliyofanya tangu aliposhika wadhifa huo ikiwemo kuwajali na kuwathamini wafanyabiashara nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Cate […]
Baadhi ya Askari Polisi waliotimiza miaka 30 katika utendaji kazi ndani ya Jeshi la Polisi ‘Wadepo 1993’ leo Oktoba 21, 2023 wametembelea Hospitali ya Polisi Kilwa road na kutoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi Milioni 2.5. Akiongea katika hafla ya kukabidhi msaada huo Mwenyekiti wa umoja wa Askari hao, ACP. Ally Wendo […]
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kazi wanazoendelea kufanya katika maeneo mbalimbali nchini. Mhandisi Mativila ametoa pongezi hizo wakati alipokutana na kufanya kikao na Menejimenti ya Wakala huo kwenye ukumbi wa TARURA uliopo mji wa Serikali-Mtumba jijini Dodoma. Mhandisi Mativila ameitaka Menejimenti hiyo […]
MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Kawaida amemtaka Katibu Mkuu wa Umoja huo Fakii Raphael Lulandala kuhakikisha analeta mabadiliko ya kiutendaji. Kawaida ametoa agizo hilo leo Oktoba 20, 2023 jijini Dar es Salaam akizungumza katika hafla ya mapokezi ya Katibu Mkuu huyo mpya aliyeteuliwa hivi karibuni yaliyofanyika jijini […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuongeza wigo wa kuandaa miongozo ya tathimini ya athari za mazingira (TAM) kupitia sekta za viwanda, nishati, kilimo na maji ili kuharakisha zoezi la mapitio ya miradi ya tathimini […]
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kupitia Kitengo cha Huduma za Ajira kupanua wigo wa fursa za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Akizungumza leo Oktoba 17, 2023 katika kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili utendaji kazi […]
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Ndugu Kiula Kingu amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la “Dawasa yetu” lililo fikia asilimi 90 hatua za mwisho za utekelezaji. Amezungumza hayo Wakati wa ziara yake Aliyoifanya Jijini Dar es salaam amesema wamefurahishwa na maendeleo […]
Ni katika mikakati yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo. Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar […]
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wamewahakikishia wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kupata makazi bora yanayokidhi mahitaji ya teknolojia ya kisasa. Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Miliki FRV Said Mndeme Wakati akitembelea miradi ya nyumba za makazi katika Maeneo ya Temeke Kota, Magomeni Kota na Masaki Mndeme amesema TBA imeazimia […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea na juhudi mbalimbali za kuimarisha miundombinu ya Barabara na Madaraja Nchini kwani ndio kilio cha wananchi kwa sasa. Rais Samia amesema hayo wakati akizungumza na wananchi eneo la Itigi baada kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi […]