Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imeziagiza taasisi za umma kuhakikisha watumishi wote wanaohusika na ununuzi wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuutumia mfumo mpya wa ununuzi “National e-Procurement System of Tanzania” (NeST). Agizo hilo limetolewa na PPRA kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo hivi karibuni, ambapo taarifa hiyo imesema kuwa, taasisi za umma zinawajibu […]
Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili kufahamu maana ya ulinzi wa amani na kushiriki katika opereshini mbalimbali za kimataifa. Ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 katika ukumbi wa Mlimani City […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya kifedha ili kuunga mkono azma ya nchi za Afrika ya kuharakisha maendeleo ya rasilimali watu. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia viongozi mbalimbali wa […]
Kikundi Cha Buta Vicoba Endelevu kimezinduliwa rasmi Jana na Mwenezi wa CCM Kata ya Bunju Shabiri Akbal Ismail na kuwataka wanawake hao kuwa pamoja na kushirikiana Kwa kila jambo. Ameyazungumza hayo Jana siku ya Jumatatu 24,2023 Katika ukumbi wa Boko chama CCM na kusema kuwa wakina mama wanatakiwa kutokuwa na mambo ya Siri Katika vikundi […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma leo Julai 25,2023 ambapo amesema mnara utakaojengwa katika uwanja huo wa Mashujaa utakuwa ni mnara mrefu zaidi Afrika. “Siku ya leo ni siku ya tafakuri, sala na dua zaidi na […]
Azam TV vinara wa huduma bora za maudhui na burudani za kusisimua nchini, kwa mara nyingine wanajivunia kutangaza uzinduzi wa tamthilia mbili zilizokuwa zikisubiriwa kwa muda mrefu zinazoitwa ‘Mtaa wa Kazamoyo’ na ‘Lolita’. Tamthilia hizi zilizobeba simulizi za kuvutia si tu kwamba zinakuja kuleta mapinduzi ya tasnia ya tamthilia nchini, bali zinaakisi maisha halisi ya […]
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema taaluma ya Uuguzi ni kazi ya uthubutu, utayari pamoja na kujitoa kwa ajili ya kuwahudumia wenye mahitaji ya kiafya huku akiwataka Wauguzi kuendelea kuchapa kazi kwa weledi na kwa kuzingatia miiko na maadili ya taaluma yao. Mhe. Kikwete […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inapaswa kuangazia changamoto zinazowagusa wananchi wa hadhi zote wakiwemo watu wenye ulemavu na wanaofanyiwa ukatili wa kijinsia. Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 22 Julai 2023 wakati akizindua Kampeni ya […]
Mbunge wa Jimbo la Kibakwe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ametoa onyo kwa wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji huku akiutaka Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kusimamia ipasavyo zoezi hilo. Mhe. Simbachawene ametoa agizo hilo wakati akizungumza na wananchi […]
Manchester United wamekamilisha usajili wa mlinda mlango Andre Onana kutoka Inter Milan kwa kima cha pauni milioni 47.2m. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon mwenye umri wa miaka 27, ametia saini mkataba wa miaka mitano, na chaguo la kuongezwa kwa miezi 12. Mkataba huo una thamani ya pauni milioni 43.8 pamoja na nyongeza zinazoweza kufikia […]