Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya maliasili na utalii Tanzania imesema kuwa itaendelea kuumga mkono juhudi za serikali chini ya raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia suluhu Hassan katika kukuza sekta ya utalii ndani na nje ya nchi Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na katibu mkuu wa Wizara ya maliasili na utalii […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi ( Deputy Assistant Secretary, Bureau of International Narcotics And Law Enforcement) wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake. Ziara hiyo imelenga kuipongeza […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa maagizo mazito baada ya kukutana na kuzungumza na wananchi wa jamii ya Kimasai wa Ngorongoro. Moja kati ya maagizo hayo ni kuundwa kwa tume ya malalamiko itakayobeba kero na changamoto zinazowakabili wananchi hao baadhi yao waliokuwa wakihama kwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesemakuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenyemipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiyaya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumiaumeme kwa ufanisi na hivyo kupunguza upotevu wa umeme. Dkt. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba alizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Desemba 04, 2024 mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Jaji Warioba awataka vyama vya upinzani kuacha malalamiko dhidi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani ni dhahili kwamba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI BEGA KWA BEGA NA WAFANYABIASHARA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO Rais Samia Apongezwa Kuifungua Nchi Kiuchumi Dkt. Biteko Awahimiza Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Maendeleo ya Nchi Serikali Yapongezwa Kwa Kuwekeza Kwenye Miundombinu Serikali imesema itaendeleza jitihada zake za kuweka mazingira wezeshi ya kufanya biashara kwa lengo la kuboresha shughuli za biashara, uwekezaji […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA IMEELEZWAย kwamba Rais wa Jamhuri wa Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa Sh bilioni 429.1 kwa ajili ya uwekezaji katikaย bandari ya Tanga, sasa matunda yameanza kuonekana. Rais Samia alitoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya uboreshaji wa bandari hiyo. Akizungumza jijini Tanga, meneja wa bandari hiyo, Masoud ,Mrisha, alisema […]