Meneja Uhusiano na masoko wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Athumani Shariff amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa RUWASA mwaka 2019 wamekuwa kila mwaka wakishiriki maonesho ya kilimo kwa maana ya Nane Nane katika Mikoa ya Simiyu na Mbeya kutokana na mamlaka hiyo kuwa mdau mkubwa wa sekta ya kilimo nchini. Meneja […]
Tanzania yatajwa ni nchi ya pili Afrika Kwa kuwa na ongezeko kubwa la watalii Katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 na Nchi ya kwanza inayofatia ni Ethiopia na ya tatu ni Morocco Pia Tanzania ni nchi ya pili kuingia ushiriki wa mkutano wa shirika la UN la utalii Kanda ya Afrika (UNWTO-CAF) Katika ushirikiano […]
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umetekeleza Miradi wa Maghara ya kuhifadhia chakula katika Mikoa Nane ya Tanzania ili kuwasaida wakulima kuhifadhia mazao yao. Miradi hiyo ni ya teknolojia ya kisasa na inatekelezwa katika Mikoa hiyo ili kusaidia utunzaji wa mazao ya wakulima na kuongeza kuwa mikoa hiyo ni pamoja na ya Nyanda za Juu kusini, […]
Taasisi ya Dayosisis ambayo inayolea watoto walemavu na wasiojiweza ambayo anakabiliwa na changamoto ya miundombinu mbalimbali ikiwemo uchakavu na ukosefu wa vitendea kazi. Taasisi hiyo inafanya harambee Kwa ajili ya kuwasaidia watoto walemavu ambao wasioona na wale wenye utindio wa ubongo na akili, harambee hiyo itafanyika mlimani city na mgeni rasmi atakuwa RAIS wa Jamhuri […]
Wanasheria wazalendo wamesema Moja ya sera ni uwekezaji Katika sekta ya kiuchumi na kijamii Katika kutekeleza sera za uwekezaji serikalini pia Ina mamlaka ya kuingia makubaliano na mwekezaji wa ndani au nje ya nchi kuendeleza na kuboresha rasilimali tulizonazo kwa manufaa ya jamii na taifa kwa ujumla. Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es […]
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji kuepuka maneno chonganishi ambayo yatasababisha uvunjifu wa Amani ya Taifa. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo Agosti 2, 2023 akizungumza katika kongamano la Wamachinga, Bodaboda na Madereva Bajaji lenye lengo la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika viwanja vya […]
Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni Sikunjema Yahaya Shabani amesema wanakigamboni wanaenda kuwa mabalozi Katika chama chetu Cha mapinduzi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni sikunjema yahaya Shabani kila mtanzania aliesikiliza hutuba ya viongozi mbalimbali atakuwa ameelewa jambo zima la bandari “mtu asieelewa basi atakuwa haelewi […]
JESHI la kujenga Taifa Nchini(JKT) limewataka wananchi wa Mkoa wa Mbeya na Mikoa jirani kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda lake lililopo katika viwanja vya John Mwakangale ambako maonesho ya nane nane yanaendelea na kwamba wafike ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za kilimo na kuongeza kuwa kwa upande wa shuguli zinazofanywa na jeshi hilo, […]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Selemani Agai Gaya mwenye umri 18) mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kutoa lugha ya matusi mtandaoni dhidi ya Viongozi wakuu wa Serikali Tanzania kwa kutumia mitandao wa kijamii. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 01 […]
WAZIRI wa Nishati January Makamba amezindua taarifa ya mwaka wa Fedha 2021/2022 na Mpango Mkakati wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wa miaka 10. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 31, 2023 jijini Dar es Salaam, Waziri Makamba ameipongeza TANESCO kwa hatua nzuri kuelekea mabadiliko makubwa ya Shirika ambayo hayajapata kutokea. “Hii […]