Waziri wa kilimo Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mh.SHAMATE SHAAME KHAMIS amesema serikali inathamini kazi inayofanywa na Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) katika kudhibiti matumizi salama ya mionzi nchini. SHAMATA ameyasema hayo baada ya kutembelea banda la Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) katika maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayoendelea Jijini Mbeya […]
Mwigizaji staa kajala masanja amefunguka kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu yanayoendelea mtandaoni kumuhusu yeye na EX wake Harmonize ambapo amekiri kwamba ni kweli miezi miwili kabla hawajaachana na Harmonize alikuwa anachukua asilimia 10 kutoka kwenye kila hela aliyokuwa akiingiza Harmonize Akiongea Leo jijini Dar es salaam wakati akigewa Dili la ubalozi wa […]
MAMLAKA ya Huduma ya Usafiri wa Anga imewahakikishia watanzania kwamba usafiri wa sekta ya Anga ni usafiri salama zaidi kulikos sekta nyingine. Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) Innocent Kyara wakati akizungumza na waandishi wa habari siku ya kilele cha maonyesho ya wakulima katika […]
Mkurugenzi Mtendaji wa MAZAO ya jamii ya kampuni ya kitanzania PULSES NETWORK (TPN) Zirack Andrew amesema jopo la waandaaji wa mkutano wa kimataifa wa chakula ambao utakaofanyika tarehe 10hadi 12 Katika viwanja vya daimond jubilee ambalo linalolenga kilimo Kwa kila mtanzania Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 08,2023 ambapo ilikuwa […]
Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kusimamia ipasavyo mpango wa Serikali wa Kuijenga kesho bora kupitia Kilimo (BBT) hasa kwa vijana ambao umeonyesha mafanikio kwa asilimia kubwa. Rais Dkt. Samia amesema hayo leo Agosti 08, 2023 wakati akikagua mabanda mbalimbali kwenye maonyesho ya Wakulima nanenane 2023 […]
Meneja Mauzo na Usambazaji kampuni ya mawasiliano TIGO Mkoa wa Mbeya, Ronald Richard amesema kuwa wanatumia fursa ya siku ya kilele cha maonesho ya kimataifa ya Nane nane 2023 katika Mkoa huo kuhamasisha wakulima kujiunga na TIGO ili kuwarahisishia shughuli za kilimo. Maonesho hayo yanafungwa rasmi leo Agost 8,2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano […]
AFISA mtendaji mkuu wa wakala wa Taifa ya hifadhi ya chakula NFRA Milton Lupa amesema katika kuhakikisha kuwa usalama wa chakula nchini wana majukumu makubwa matatu ambayo kwanza ni kununua na kuhifadhi chakula na pili ni kutoa chakula wakati wa dharura ama wakati wa majanga yanayojitokeza ndani ya nchi na jukumu la tatu ni kuuza […]
KAMISHNA wa kinga na tiba Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini Dr. Peter Mfisi amesema kuwa wapo nane nane kwenye maonesho ya kilimo kwa sababu dawa za kulevya zipo za aina mbili kwamba kuna dawa za kulevya zinazotengenezwa viwandani kama heroin, kokein na dawa zingine lakini kuna dawa zingine zinatokana na […]
WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ameonyesha kufurahishwa na bunifu zinazofanywa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) pamoja na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) huku akitoa rai kwamba ubunifu hizo sasa ziingie sokoni kutatua changamoto katika jamii badala ya kuonekana kwenye maonyesho mwaka hadi mwaka. Prof.Mkenda ametoa rai hiyo alipofanya ziara yake […]
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) John Maige amesema katika msimu huu wa kilimo tayari Bodi hiyo imeshanunua takriban tani 35,000 za mazao mbalimbali ya wakulima hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya kwenye Banda ya Bodi hiyo ,Maige amesema miongoni mwa mazao […]