BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewatambulisha rasmi Mabalozi watakaoshirikiana ili kupanua wigo wa mawazo na kutangaza Falsafa yake iliyojikita katika Kufufua Zaidi, Kukuza Zaidi na Kuendeleza zaidi Sekta ya Sanaa na kuipa mawanda mapana ya ubunifu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 15 Jijini Dar es Salaam akitambulisha mabalozi hao Katibu Mtendaji wa […]
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TANTRADE kwa kuboresha mazingira ya biashara hususani Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) 2023. Vilevile Kamati hiyo imeiagiza TANTRADE kupitia Sheria na kuwa na mikakati mahususi ikiwemo ya uboreshaji wa miundombinu […]
Kampuni ya sanlam na Wakandi zimetakiwa kuendeleza kuwa Wabunifu katika kutoa bidhaa zilizobora Kwa Wananchi zitakazochagiza shughuli mbalimbali za kimaendeleo Nchini. Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam mara baada ya Kamishna Mkuu WA Bima Nchini TIRA Baghayo Sakware kuzindua Bima ya Maisha ya Mkopo Wa Kigital yenye lengo la kuboresha usalama WA Fedha, ustawi […]
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amemuagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa mpira wa Kwaraa kumaliza kwa wakati ili kutumika katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru. Mhe. Katambi ametoa maelekezo hayo Agosti 11,2023 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya uwanja huo kuelekea […]
Mchungaji wa Taifa Daudi mashimo atabirikushinda Kwa Timu ya Simba SC dhidi ya yanga SC Katika mchezo utakao pigwa Katika dimba la ccm mkwakwani mkoani Tanga Mashimo amesema kesho yanga hawatoweza kushinda Kwani simba Ipo Katika usajili mzuri na yanga kesho wakubali tu matokeo ya kufungwa na Katika ligi watakuwa watu watatu Amewaomba mashabiki wa […]
Ulimwenguni kote Leo huadhimisha kilele Cha siku ya Vijana ambayo inafanyika Katika mikoa mbalimbali Kwa Vijana Kwa kutatua matatizo Yao na kujadiliana hatima ya Vijana wa watanzania.afrika na ulimwengu mzima. Siku hii ya Vijana Duniani ilianzishwa na umoja wa mataifa mnamo mwaka 1999 na kupitishwa Kwa Azimio namba 54/120 Kwani tarehe 12 Agosti ya kila […]
Bodi ya filamu imefungua dirisha la kupokea filamu Kwa ajili ya tamasha la Tuzo za filamu 2023 Tanzania ikiwa Moja wapo ya tamasha hilo ambalo linalokuza filamu za kitanzania na kuzidi kuleta chachu ya kuendeleza vipaji vya Sanaa Tuzo hizo zimekuwa msimamo wa mbele ambazo ndizo zinazoweza kukutambulisha kazi yako unayoifanya ya kutunga au kucheza […]
Nchi ya Tanzania na nchi ya Malawi yaingia makubaliano wa miaka miwili Katika na ushirikiano Katika sekta ya nishati Makubaliano hayo ya understand kati ya lastcop na shirika la umeme la Malawi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katika ukumbi wa hayyat regency Leo ijumaa 11 mwezi august 2023 waziri wa nishati […]
Kufuatia performance ya msanii kwenye tamasha la Simba Day iliyozua mjadala na kupelekea chama Cha watu Wenye Ulemavu ualbino kuitaka klabu ya Simba SC Tanzania kuomba radhi Kwa kitendo hicho Cha kumtumia mtu mwenye ualbino kutumika Katika tamasha hilo Haji manara amejibu kuhusu swala hilo akiwa ni mtu anayetajwa kuhusishwa kama mlengwa wa kilichofanyika siku […]
JESHI la kujenga Taifa (JKT) na wizara ya kilimo wametiliana saini mkataba wa mashirikiano katika kutekeleza mradi wa mashamba makubwa kuwezesha vijana kilimo biashara-Building a Better tomorrow (BBT) mbele ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja jenerali Rajab […]