Chama Cha mapinduzi ccm kimeweza kuwasajili wanachama wake 130 ambao ni wanafunzi wa Chuo Cha st.joseph na st.maria na wamepata kuelewa Itikadi ya Chama cha mapinduzi. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa serikali ya mtaa dovya lazaros mwakiposa amesema kati ya wanafuzi hawa Kuna viongozi ndani Yao wa badae lakini […]
Kushirikiana na Makampuni bingwa ya Ushauri nchini kuitangaza sekta ya madini Wizara ya Madini kufungua Dawati maalum la Uwekezaji TIC Kufungua kiwanda cha uchenjuaji kitakacho hudumia Ukanda wa Sub Sahara Afrika Wizara ya Madini imepanga kuweka mikakati shirikishi ya uwekezaji katika Sekta ya madini itakayowavutia na kuwanufaisha wachimbaji wadogo,wa kati na wakubwa. Hayo yamebainishwa Novemba […]
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amewasisitiza Maafisa Maendeleo ya Jamii kujitokeza katika mikutano ya hadhara hasa ya viongozi wa kisiasa ili wanadi kazi zao kwa wananchi ili zifahamike zaidi. Wakili Mpanju ameyasema hayo Novemba 22, 2023 jijini Arusha, wakati wa kufunga kongamano la siku […]
Katibu tawala wa Mkoa wa Pwani Bw. Rashid Kassim Mchatta ametoa wito kwa Walimu wa msingi wa Somo la English kusambaza ujuzi wa somo hilo kwa wenzao hasa katika kipindi hiki ambacho Serikali inatarajia kutekeleza mtaala mpya ifikapo Januari 2024. Mchatta ametoa wito huo Novemba 22 alipofungua mafunzo ya kusimamia na kutekeleza muhtasari wa Somo […]
Waziri mkuu kassim Majaliwa Leo Alhamis 23,2023 ametembelea Hospital ya rufaa iliyopo mkoa wa songwe ambayo imeendelea kujengwa na imeshaanza kutumika na viwango vyake vinarizisha Waziri mkuu kassim Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuleta fedha kwa utaratibu ili majengo yakamilike. Hospital hiyo Bado inaendelea na ujenzi na Jengo la magonjwa ya dharura , […]
Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuchelewa kwa ukamilishaji na kutotekelezwa kwa miradi ya barabara nchini kwa wakati na viwango vinavyotakiwa kunasababishwa baadhi ya Wataalam na Wasimamizi wa Miradi hiyo wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kutotekeleza wajibu wao kikamilifu. Ameyasema hayo Mkoani Tanga wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Mkange – Tungamaa – Pangani […]
Atoa wito kujenga Taifa lenye Umoja, Upendo na Mshikamano Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Mhe. Dkt Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye Umoja, Amani na Mshikamano Mhe. Dkt Biteko ameyasema hayo kwenye Mkutano wa Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste ambao ulikuwa na lengo […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Nishati na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) katika Mji wa Serikali- Mtumba jijini Dodoma. Katika ziara hiyo, Dkt. Biteko aliambatana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), […]
Wakala wa majengo TBA imesema kuwa mpaka Sasa jumla ya fedha wanaowadai wapangaji wao ni Zaidi ya sh.bilion 7.8 ambazo zinazodaiwa Kwa wapangaji wake zikiwemo taasisi za umma. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Jumatano 22,2023 Mtendaji mkuu wa wakala wa majengo TBA Daud kondoro jambo hili limekuwa kikwanzo kwenye juhudi […]