Na Madina Mohammed *Serikali inajipa umuhimu wa juu sana kwenye swala hili la mafanikio ya hii kongani ya viwanda -*Mkoa wa pwani ni mkoa wa uwekezaji,Tunaviwanda 1525,120 ni viwanda vikubwa na vengine ni viwanda vya kati na vengine viwanda vidogo sana -*Serikali ya awamu ya sita ya Mhe rais Samia suluhu Hassan tokea imeingia madarakani […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto kwani vinasababisha watoto wengi kukimbia familia zao na kukosa makao maalum. “Jamii na Watanzania kwa ujumla kila mmoja ashiriki katika kulinda haki na […]
Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa* Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi* Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada* Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]
Msemaji Mkuu wa Serikali ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Bwana Mobhare Matinyi ametembelea ujenzi wa Reli ya Kimataifa SGR kipande cha kwanza Dar Es Salaam – Morogoro katika stesheni ya Dar Es Salaam, January 03, 2024. Lengo la ziara hiyo nikujionea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR pamoja na kufahamu maandalizi […]
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi kuuondoa Uongozi mzima wa Mnada wa Pugu kwa kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato. Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika mnada huo mapema leo Januari 3, 2024 kwa lengo la […]
wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetia saini mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas – SWICA) yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 278, sawa na shilingi za kitanzania Bilioni 696 kwa ajili ya kuendeleza […]
Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia* Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka […]