Na Mwandishi Wetu-Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa wito kwa Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini kushiriki Kikao Kazi kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kupata maelekezo kuhusu masuala yanayohusu Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi umma kwa kuzingatia shabaha na vipaumbele vya […]
Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Benki ya Equity Tanzania, kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imepanda miti 10,000 katika Shule ya Sekondari ya Kirungu, Kijiji cha Kirungu, Wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma. Miti iliyopandwa ni aina ya Misindano ya asili (Pines), kwenye eneo la shule lenye ukubwa wa hekta 9, kwa […]
Na. Edmund Salaho/Arusha Waongoza watalii wa safari zaidi ya 750 leo tarehe 12, Decemba 2024 wamepigwa msasa katika semina maalum ikiwa na lengo la kujiandaa na msimu mwingine wa Utalii unaoanza Decemba 2024 hadi Februari 2025. Semina hiyo ya siku mbili inahusisha vyama vya waongoza watalii vya TTGA, NTSGS, TGS, KTGA, IGS, na FGCI imeandaliwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme* Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP* Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuwa TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Majiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya 50% katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba 10, 2024 wakati wa utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko ya […]
Na. Joyce Ndunguru, Morogoro Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa rasilimali ya wanyamapori. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Disemba 10, 2024, katika kikao na watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) kilichofanyika katika Makao Makuu ya TAWA Mkoani Morogoro. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya* Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi* Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika kwenye Sekta ya nishati nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu itazinufaisha Nchi Wanachama […]
Na Kassim Nyaki, NCAA. Zoezi la kunadi vivutio vya utalii vilivyopo eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka limefika Zanzibar ambapo kampeni hiyo imepokelewa kwa kishindo, shangwe na bashasha kwa wananchi wa Zanzibar. Meneja wa Idara ya huduma za Utalii na Masoko NCAA, Mariam Kobelo ameeleza kuwa Zanzibar ni […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida amefika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza kumfariji Ndugu Kheri James ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini aliyefiwa na baba yake mzazi Desemba 03 mwaka huu. Mwenyekiti Kawaida akiwa nyumbani hapo amesaini kitabu cha maombolezo na kuhani msiba […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema waliohusika na tukio hilo lazima wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake. -Asisitiza ifike wakati Dola lazima iheshimike. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amelaani vikali kitendo cha kushambuliwa kwa watumishi wa TRA wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria eneo la Tegeta Wilaya ya Kinondoni […]