– Ziara imekuwa na Mafanikio Makubwa. – Azindua Miradi iliyogharimu mabilioni ya Pesa. – Asema Serikali imedhamiria kufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi. – Wananchi wamshukuru na Kusema Ziara imekuwa neema kubwa kwenye Mkoa wao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani […]
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete ameeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Simiyu. Mhe. Kikwete amezitaka halmashauri zote nchini zinazotekeleza miradi ya maendeleo hususani kwenye sekta ya huduma za jamii kujifunza kutoka Mkoa wa Simiyu ambao […]
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko imefanya ziara ya Ukaguzi wa kikosi cha Mbwa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ili kujionea shughuli zinazofanywa na kikosi hicho katika eneo hilo, kuhakiki ufanisi wake na kuboresha utendaji Akizungumza […]
Meridianbet kampuni ya Michezo ya kubashiri mtandaoni imeingia kipekee Kwa kushirikiana na Halopesa Kwa kutoa huduma za malipo Kwa mtandaoni ya simu Imezindua promosheni ya kibabe ya MERIDIANBET JICHUKULIE MAOKOTO NA HALOPESA ambayo inawapa wateja wa meridianbet njia isiyo na vikwazo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo ijumaa 15 September 2023 […]
Wizara ya Maliasili na Utalii nchini kupitia mradi wa Kuboresha usimamizi wa Maliasili na kukuza Utalii Nyanda za juu Kusini (REGROW) imechagiza uanzishwaji wa vikundi vya kijamii vilivyoanzisha mazao mapya ya Utalii kama vile ngoma za asili,vyakula vya asili, bidhaa za kiutamaduni kwa lengo la kuinua wananchi kiuchumi pamoja na ulinzi wa Maliasili nchini. Akizungumza […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma za afya kwa Watanzania. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa mpango mkakati huo ambao unatarajia kugharimu dola la kimarekani milioni 458 kwa miaka yote […]
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania-TIRDO Prof. Mkumbukwa Mtambo ameahidi Shirika lake kuendelea kutoa elimu ya matumizi wa mkaa rafiki katika Mikoa yote ya TANZANIA . Prof. Mtambo amesema hayo katika hafla ya kufunga mafunzo ya siku tatuna kutoa vyeti kwa wajasiriamali 28 kutoka Mikoa 12 ya Tanzania . Semina […]
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo kushirikiana ili kuongeza ufanisi katika utendajikazi wao na hatimaye kufikia malengo waliyopangiwa. Ameeleza hayo Septemba 14, 2023, wakati akizungumza katika Kikao cha Watumishi wa Wizara ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema kuwa, Wizara ina vitu vikubwa inavyotakiwa kufanya […]