Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tanzania pamoja na kuwa kati ya nchi nne zenye mfumo wa maabara ulitengenezwa Kwa matakwa ya nchi husika,lakini inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa wataalamu wa Uchunguzi Katika maabara. Hayo yalibainishwa na mkurugenzi wa huduma za maabara wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA Dk Danstan shewiyo wakati […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kigoma, Steven Mafiga afanye haraka kuwachunguza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, Bi. Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Wilaya hiyo, Bw. Majjid Mabanga ili kubaini ni kwa nini miradi haiendi wakati fedha zilishatolewa kitambo. “Kamanda wa TAKUKURU Mkoa kamilisha hiyo kazi kwa […]
NAIBU Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati DKT.Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya Sita ya teknolojia ya Madini mkoani Geita yatakayofunguliwa Septemba 23 mwaka huu katika Halmashauri ya Mji wa Geita huku Rais DKT.Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufunga maonyesho hayo. Akizungumza na waandisi wa habari katika viwanja vya […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ushiriki wa sekta binafsi ni muhimu katika kukabiliana na upungufu wa fedha za maendeleo ili kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) duniani. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akichangia katika mjadala wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu ufadhili wa maendeleo […]
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekipongeza kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizer Limited kwa kuzingatia sheria za kazi ikiwemo kuwapa mikataba wafanyakazi, Usalama na afya mahali pa kazi na kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa wakati. Prof. Ndalichako […]
Ofisi ya mkuu wa wilaya Kwa kushirikiana na mamlaka ya mapato TRA imeshirikiana kuandaa week ya EFD ambayo inayotumika Kwa kuhamasisha matumizi sahihi ya mashine ya EFD kwa wafanyabiashara Ili Kujenga mahusiano mazuri kati ya walipa kodi na wafanyabiashara wa Ilala na TRA na serikali imekuwa ndo kiunganishi Cha kujenga mahusiano hayo Akizungumza na waandishi […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni ya uwekezaji katika sekta ya maji barani Afrika. Makamu wa Rais amesema hayo alipomwakilisha […]
Mkutano wa mashirika yasiyoya kiserikali ENGO’S zimeungana Kwa pamoja Ili kuweza kupambana na magonjwa ambayo hayagewi kipaumbele Magonjwa hayo ni mabusha,matende,kichocho na ugonjwa wa vikope wa macho Trakoma ambazo jitihada zimeendelea kufanyika kama Tanzania imekuwa wenyeji Kwa mara ya kwanza Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 19 September 2023 Mkurugenzi […]
Afisa Biashara kutoka Ubalozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Nchini Bw. Marcel Kasongo Yampanya amewasilisha nia ya Serikali ya Kongo kuleta Vijana wengi nchini Tanzania kujifunza Uongezaji Thamani wa Madini ya Vito katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) cha jijini Arusha. Ameyabainisha hayo wakati wa mazungumzo yake na viongozi wa kituo cha TGC baada […]
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (EWURA)imevifungia vituo vitatu vya kuuza mafuta kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuchelewesha kufikisha mafuta vituoni na wengine kukaa nayo mafuta kwenye visima vyao Kutokana na ufichaji wa mafuta EWURA imevichukulia hatua vituo 8 ambavyo vimejihusisha na tabia ya kuficha mafuta Hatua hiyo imekuja ikiwa na siku chache […]