WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu ya mbalimbali ya dini nchini waendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya . “Tushirikiane kupambana na biashara na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yameathiri zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa.” Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba […]
Viongozi wa Afrika Mashariki wamepongeza kutunikiwa hadhi ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), 2027, baada ya ombi la pamoja la Uganda, Tanzania na Kenya kukubaliwa. Itakuwa mara ya kwanza kwa shindano hili kuu la kandanda barani Afrika kuchezwa katika mataifa matatu kwa wakati mmoja, baada ya lile lililofanyika Ghana na Nigeria […]
ZAIDI ya Shilingi za kitanzani Bilioni 5 zimewekezwa katika Maabara ya MSALABS inayopima sampuli za Madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani Geita. Hayo yamebainishwa Septemba 27, 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Maabara ya MSALABS Mugisha Lwekoramu wakati wa ufunguzi wa Maabara hiyo iliyoanzishwa mwaka 2020 ikiwa ni kampuni tanzu ya MSALABS yenye makao […]
KAMPUNI ya Ulinzi ya Nguvu Moja security services limited inayojishughulisha na masuala ya ulinzi imeelezea mafanikio ya kampuni hiyo ikiwa ni pamoja kupata tuzo ya kampuni bora inayozingatia masuala ya afya na usalama mahala pa kazi. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya sita ya teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili […]
Msanii mkongwe wa filamu nchini Yvone Cherrie โMonalisaโ , ameandaa Usiku wa Tuzo za Wanawake Novemba 23 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Monalisa amesema zitafanyika ukumbi wa Super Dome Masaki na kwamba ni nafasi ya wanawake kuonekana kwa kile wanachofanya. โNimeandaa tuzo za wanawake vinara kwenye sekta ya sanaa, […]
Wanajeshi wamehamishwa kutoka kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali kufuatia shambulio la watu wenye silaha, jeshi la taifa hilo limesema. Wanajeshi wa Mali waliwakabili washambuliaji huko Acharane, eneo karibu na mji wa kale wa Timbuktu, taarifa ilisema. Bado haijabainika iwapo watu hao wenye silaha walikuwa wanamgambo wa Kiislamu au waasi wa Tuareg. Makundi yote mawili […]
Kituo cha kwanza rasmi cha matumizi ya dawa za kulevya nchini Uingereza ikiwa ni pamoja na heroini na kokeini kimeidhinishwa na mamlaka huko Glasgow. Kituo hicho kinaungwa mkono na serikali ya Scotland kama njia ya kukabiliana na janga la vifo vinavyotokana na dawa za kulevya nchini humo. Mpango huo wa majaribio utakuwa katika kituo cha […]
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) katika mwaka wa fedha 2023/2024 unatajia kujenga jengo la ghorofa la biashara na makazi katika Mkoa wa Geita. Akijibu swali la Mbunge wa jimbo la Geita mjini Mhe. Constantine Kanyasu alipotembelea katika banda hilo katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini yanayaofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Halmashauri ya […]
Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zimepata dhamana ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027). Akiongea mara baada ya kutangazwa matokeo hayo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe, Waziri wa Utamaduni, Sanaa Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mpambano ulikuwa mkubwa na hatimaye EA Pamoja Bid […]