Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo Jijini Dar es Salaam ambapo janga hilo la moto limetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na baadhi ya bidhaa zilizokuwemo katika Jengo hilo. RC Chalamila akitoa taarifa ya Serikali kufuatia […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]
-MRADI WAFIKIA ASILIMIA 99.7 -MTAMBO MMOJA KATI YA MITATU WAWASHWA Mawaziri wa Nishati kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Mawaziri hao, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo wamefanya kikao cha ngazi ya Mawaziri na kukagua mradi wa umeme wa Rusumo utakaozalisha megawati 80 na kila […]
Tamasha la Ngoma za Asili lijulikanalo kama “ *Tulia Traditional Dances Festival* ” ni kichocheo kikubwa katika kukuza ajira na utalii nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameyasema hayo wakati akihitimisha tamasha hilo lililoambatana na mbio za “Tulia Marathon” lililofanyika leo Septemba 30,2023 jijini Mbeya. “Tamasha hili ni moja ya zao […]
Mama mzazi wa msanii maarufu wema sepetu achafua hali ya hewa kwenye birthday party ya mtoto wake Kilichoendelea mama huyo alipeleka zawadi ya kanga Kwa mwanawe na kugeuka somo Kwa Muda Kwa kumfunda wema sepetu Somo kubwa alilolitoa mama huyo ni kuhusu matumizi ya khanga Kwa mwanamke kwani alishawai kumuomba khanga mwanae na kupewa mtandio […]
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel Tourism Council (WTTC) , Bi. Julia Simpson kwa lengo la kujadili namna bora ya kushirikiana katika kutangaza na kukuza utalii endelevu nchini Tanzania. Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa […]
WAZIRI WA Madini Antony Mavunde amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan iko katika mazungumzo baina ya wizara ya Madini na Tanzania Banker’s Association, taasisi zote za fedha (MABENKI), STAMICO na wadau wa sekta Madini kujadiliana ili kuona ni changamoto gani zinazosababisha mchimbaji wadogo wa Madini wasiwe na vigezo […]
WAZIRI wa Madini Antony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais DKT. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia sheria ya Local contect ili kuhakikisha watanzania wananufaika na rasilimali zao ikiwemo madini ya dhahabu . Mavunde ameyasema hayo alipotembelea mmoja wa wawekezaji wa wazawa mkoani Geita Athanas Inyasi anaemiliki kampuni ya blue coast ili […]