Suluhu ahudhuria mualiko wa Papa Francis Mjini Vatican,Rais Dkt.Samia katika mualiko amefanya mazungumzo na Papa Francis zaidi ya dakika 25 ikiwa ni katika kuendelea kudumisha demokrasia ya Tanzania Kimataifa. Katika mazungumzo yao ya faragha yaliyodumu kwa takribani dakika ishirini na tano, wameridhika na uhusiano […]
Ubunifu wa mbinu za kuongeza idadi ya watalii na vyanzo vya mapato nchini kwa kuanzisha mazao mapya ya utalii ni mojawapo ya mikakati inayopigiwa chapuo kwa msisitizo mkubwa na Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Waziri mwenye dhamana ya Maliasili Mhe. Angellah Kairuki (Mb). Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kupitia Hifadhi […]
Kwa miongo kadhaa kumekuwa na dhana ya kwamba wageni wengi wa nje hupendelea zaidi utalii wa kuona wanyamapori, lakini hivi karibuni dhana hiyo imeanza kubadilika kwa kasi ambapo Tanzania imeanza kupokea wageni makundi kwa makundi wakitembelea katika maeneo yetu ya Malikale hususan Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara. […]
KAMISHNA MABULA AWATAKA MAOFISA WA TAWA KY MARISHA SHUGHULI ZA UTALII ILI KUONGEZA MAPATO SERIKALINI
TAWA Mabula Misungwi Nyanda amewataka Maofisa wote wa taasisi hiyo kuweka mikakati madhubuti ya kuongeza idadi ya watalii ili kuongeza mapato Serikalini ikiwa ni pamoja na kuboresha ulinzi na usimamizi wa rasilimali za wanyamapori na malikale. Kamishna Mabula ameyasema hayo leo Februari 10, 2024 […]
Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara inaendelea kupokea makundi makubwa ya watalii kutoka Mataifa mbalimbali Duniani ambao wanafika nchini mahsusi kwa ajili ya kutembelea hifadhi hiyo iliyosheheni utajiri wa kihistoria na maajabu ya magofu ya kale kwa shughuli za utalii. Kwa mara nyingine ikiwa ni kundi la tatu […]
amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha elimu inakuwa kipaumbele wilayani Serengeti. Dkt. Mashinji ameyasema hayo Februari 01, […]
Na Madina Mohamedi Tukiwa mbioni mwisho wa Msimu wa AFCON BOMBA Azam Media LTD kupitia chaneli 103 wanakuja na tamthilia ya Toboatobo itakayoanzwa kuonyeshwa Februari 9 ,2024 kuanzia Ijumaa mpaka jumapili saa moja na nusu usiku . Akitambulisha Tamthilia hiyo katika mkutano na Waasanii waliicheza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam Sophia […]
Samia Suluhu Hassan amesema serikali imedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi, hivyo imeamua kutoa kipaumbele katika kukuza sekta hiyo kwa kuimarisha utendaji kazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amebainisha hayo leo (30/01/2024) jijini Mwanza, wakati wa kukabidhi boti […]
Na Richard Mrusha Kitulo AFISA Mhifadhi mkuu wa Kanda ya Kusini Jonathan Kaihura Ametoa wito Kwa watanzania kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo katika hifadhi zetu hapa nchini na hasa hifadhi ya Taifa ya kitulo iliyopo katika mikoa ya Njombe wilayani Makete. Na Mkoa wa Mbeya wilaya ya Rungwe na mbeya vijijini Amesema kuwa […]