Muigizaji na mtangazaji wa clouds media Burton Mwambe maarufu kama mwijaku azungumzia Sakata LA kufungwa kwa shule mjini Paris kuwa na wingi wa kunguni. Mwijaku amesema kuwa alipata bahati ya Kufika katika jiji hilo na kuona muingiliano mkubwa wa watu wanaoenda kutalii katika jiji hilo huenda ndio wanaosababisha kunguni mjini Paris. Mwijaku amesema hayo oktoba […]
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa yanayofadhili miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Jumatatu (Oktoba 9, 2023) katika Ofisi ndogo za Ofisi Makamu wa Rais […]
Kapinga aonya watakaokwamisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga amesema kuwa, shilingi Bilioni 163 zitatumika kuunganisha Mkoa wa Katavi katika Gridi ya Taifa na hivyo kuwezesha mkoa huo kupata umeme wa uhakika na unaotabirika. Mhe. Kapinga amesema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wakati wa ziara Katibu Mkuu wa […]
Waziri wa Maliasili na Utalii na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesema mashirikiano baina ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania na Oman yatanufaisha pande zote mbili katika uhufadhi wa malikale. Mhe. Kairuki ameyasema hayo tarehe 7 Oktoba 2023 katika hafla fupi ya kufunga kikao kazi cha kujadili mpangokazi wa utekelezaji wa Mkataba wa Mashirikiano baina ya […]
*Asisitiza Wakuu wa mikoa, Wilaya kuwa wabunifu kutangaza fursa za utaliii* *Awahimiza Watendaji kutimiza wajibu wao kuwahudumia Watanzania* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua mpango mkakati wa kutangaza fursa zilizopo Sekta ya Utalii katika wilaya ya Pangani, mkoani Tanga ili kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano […]
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa jitihada za dhati katika kuleta maendeleo ya uhifadhi nchini ikiwa ni pamoja na Usimamizi mzuri wa Wanyamapori Mhe. Kairuki ametoa pongezi hizo Oktoba 7, 2023 alipotembelea bustani ya Wanyamapori hai katika maonesho ya Saba ya Kimataifa ya Swahili […]
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili za kipekee, vivutio vya kitamaduni na maeneo marefu ya fukwe za Tanzania Bara na Zanzibar. Mhe. Kairuki ametoa […]
Leo Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, ATE kwa kushirikiana na wadau wa kazi na Ajira, wamehitimisha kilele cha Bonanza la Afya la Waajiri kwa mwaka 2023 lililobeba ujumbe unaosema โKuimarisha Afya ya Akili ili Kuongeza Tija Mahali pa Kazi.โ Mgeni Rasmi katika Bonanza hili alikuwa ni Waziri wa Nchi, OWM-KVAU, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako […]
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya gharama nafuu vya bidhaa za mafuta (Dizeli na Petroli) maeneo ya vijijini ili kuondosha njia zisizo salama za uhifadhi wa mafuta hayo. Hayo yamesemwa na Mhandisi Miradi kutoka REA, Kelvin Tarimo wakati akitoa semina kwa Baraza la […]