Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 141)
FEATURE
on Oct 12, 2023
295 views 3 mins

Asisitiza Watanzania wanataka umeme Atoa Pongezi kwa wafanyakazi kwenye mradi huo TANESCO wapongezwa kwa hatua ya ujenzi Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme wa Msongo wa kilovoti 400/220/132/33 wa kituo cha Chalinze umefikia asilimia 84.3 na hivyo kuleta matumaini ya kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme. Hayo yameelezwa leo Oktoba 12, 2023 na […]

FEATURE
on Oct 12, 2023
378 views 52 secs

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ( Mb) amekagua jengo la ofisi ya Wizara ya Maliasili na Utalii lililojengwa kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo aliambatana na Naibu wake Mhe. Dunstan Kitandula na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi amesema kwamba jengo hilo kwa sasa limekamilika kwa asilimia 99.9 na […]

FEATURE
on Oct 12, 2023
338 views 2 mins

Wakazi Wilayani Lujewa Mkoani Mbeya wametakiwa kuitunza Miradi ya Umwagiliaji inayotekelezwa kupitia Mradi wa Usimamizi wa Maliasili na ukuzaji wa Utalii Nyanda za juu Kusini (REGROW) kwemye eneo la Madibira na Mbarali kwa kuwa miradi hiyo ni kwa ajili ya wananchi wenyewe. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna […]

FEATURE
on Oct 11, 2023
259 views 32 secs

Maonesho ya Dar Construction Expo 2023 yamefunguliwa rasmi hii leo October 11 Jijini Dar es salaam na naibu Waziri wa ujenzi Mhandisi Godfray Kasekenya. Akizungumza katika uzinduzi wa maonesho hayo naibu waziri Kasekenya amesema maonesho hayo ni muhimu kwani yamewakutanusha wadau mbalimbali wa ujenzi kutoka ndani na nje ya nchi. Kasekenya amesema kuwa sekta ya […]

FEATURE
on Oct 11, 2023
302 views 4 mins

Rais Mstaafu Kikwete ampongeza Dkt. Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Chalinze imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020- 2025 kwa mafanikio Serikali imeahidi kushughulikia changamoto ya umeme iliyopo nchini kwa kasi kubwa ili tatizo hilo liweze kuisha katika kipindi kifupi kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Oktoba 11, 2023 na Naibu Waziri […]

FEATURE
on Oct 11, 2023
262 views 3 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo lililowekwa na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Zao la Korosho unaofanyika […]

FEATURE
on Oct 11, 2023
207 views 58 secs

Hayo Yamesemwa leo na Mkurugenzi na Muandaaji wa Maonesho hayo Bw. Deogratius John Kilawe , alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo ameeleza kuwa Maonesho hayo yana lengo la Kuwakutanisha kwa Pamoja Wadau wa Sekta ya Ujenzi na kujadili njia mbalimbali zitakazosaidia kuinua Sekta hiyo pamoja […]

FEATURE
on Oct 10, 2023
264 views 3 mins

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Standard Chartered, Bw. Herman Kasekende na kujadili fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa miradi ya mazingira na uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi hapa nchini. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika […]

FEATURE
on Oct 10, 2023
298 views 12 secs

Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imetoa adhabu kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutojihusisha na Mchezo wa Ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja pamoja na Faini ya Tsh. Milioni 1 Mwakinyo amekutwa na hatia ya kutoa kauli chafu dhidi ya Uongozi wa TPBRC pamoja na kugomea pambano dhidi ya Bondia […]

FEATURE
on Oct 10, 2023
346 views 2 mins

Kutokana na hali iliyokuwa na matukio Kwa baadhi ya maeneo hasa pembezoni mwa nchi kukosa mafuta hasa kipindi Cha kubadilishwa kwa Bei ya mafuta kunasababisha kuwa na usumbufu mkubwa Kwa wananchi na madhara ya kiuchumi EWURA imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisheria ikiwemo kuvifungia baadhi ya vituo vilivyothibitika kuficha mafuta kinyume na kanuni na Miongozo […]