Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema Manabii na Viongozi wengine wa Dini wana nafasi kubwa katika Jamii. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Disemba 12 amehudhuria mkutano wa kila mwaka wa Kitaifa wa viongozi wa kiroho ( The Annual National Leaders Prophetic Meeting) uliofanyika katika ukumbi wa The Supper Dom Masaki […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ahadi ya Rais yatekelezwa Kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha mto Trippi kilichopo Kijiji cha Trippi Kata ya Gehandu Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu umeweza kupunguza utoro kwa asilimia 98 na kuongeza ufaulu wa mtihani wa darasa la saba kwa asilimia 91 kwa wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Trippi. Hayo yameelezwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt.Mataragio aongoza majadiliano na kampuni ya Pertamina Indonesia* Wajadili uwekezaji katika Nishati Mbadala, Mkondo wa Juu wa Petroli, Uzalishaji mbolea* Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika gesi asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia ya kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu utakelezaji wa miradi ya LNG. […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mapato na Idadi ya watalii vyaongezeka Tabora. Zaidi ya TZS Millioni 220 zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Kwa ajili ya maboresho ya miundombinu ya utalii ndani ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inalenga kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya usindikaji wa gesi Indonesia. Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (Government Negotiation Team – GNT-LNG) ipo katika ziara nchini Indonesia. Ziara hiyo inalenga kubadilisha uzoefu na ujuzi katika kuendeleza sekta ya ndogo ya mafuta na gesi asilia […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya kuhusu hatima ya kung’atua kwake ndani ya chama hicho huku akiweka wazi kwamba bado yupo sana na hatastaafu siasa kwa sasa. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa amefanyakazi ya kuimarisha upinzani nchini kwa zaidi ya miaka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ZANZIBAR Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi kujiandaa kugombea nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dkt Faustine Ndugulile. Dkt Ndugulile ambaye pia alikuwa Mbunge wa Kigamboni, alifariki dunia Novemba 27, mwaka […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo DCP Kombo Khamis Kombo kuwa Kamishna wa Polisi na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar. Kombo anachukua nafasi ya CP Hamad Khamis Hamad aliyeteuliwa kuwa Balozi. Mbali nae pia Rais Samia amempandisha cheo DCP Tatu Jumbe kuwa Kamishna wa Polisi na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amelifumua Baraza lake lake la Mawaziri kwa kufanya mabadiliko madogo na kuwateua viongozi mbalimbali ambapo huku Profesa Palamagamba Kabudi amemteua kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, akitokea Wizara ya Katiba na Sheria. Mbali naye huku Innocent Bashungwa akiteuliwa kuwa Waziri wa […]
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Suleiman Jafo amewaomba wawekezaji kutoka nchi za falme za kiarabu kuja kuwekeza Nchini Tanzania katika sekta mbalimbali ikiwemo Biashara. Jafo ametoa rai hiyo leo Desemba 12,2024 wakati wa utiliaji saini hati ya Makubaliano ya Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za kiarabu kupitia Chemba ya Biashara ,Viwanda na […]