PAUL Makonda apokelwa kwa staili ya aina yake baada ya kutumia usafiri bodaboda wakati akienda Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi(CCM)zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar ea Salaam ambako yamefanyika mapokezi makubwa. Mapokezi ya Makonda yamefanyika leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tu Chama Cha Mapinduzi( CCM) kuteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi […]
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefadhili mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili, ofisi moja ya walimu na jumla ya madawati 30 katika shule ya msingi Usinge iliyopo wilaya ya kaliua Mkoani Tabora Mradi huu ambao tayari umekwishakamilika na kuanza kutumika umegharimu kiasi cha Tsh. Millioni 50 (50,000,000/=) ambazo ni […]
Mazingira Uwekezaji Sekta ya Madini, sasa njia nyeupe Dar es Salaam Imeelezwa kuwa, Sekta ya Madini ni nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 25, 2023 na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alipomwakilisha Rais wa […]
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika kuongeza mazao mapya ya utalii, hivi karibuni wamegundua eneo jipya lenye hazina kubwa ya Nguzo za Asili (Natural Pillars) zenye muonekano wa kuvutia ndani ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Nguzo hizi zilizosimama mithili ya uyoga na kuvutia kwa macho zinasemekana zimetokana na kulika (kumomonyoka) kwa miamba yenye […]
Tume ya Madini kwa kushirikiana na Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Madini leo Oktoba 25, 2023 inashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini unaoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Viongozi wa Tume wanaoshiriki ni pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula, […]
AFL2023: Licha ya safari ya Klabu ya Simba kukatishwa na Goli la Ugenini lililoibeba Klabu ya Al Ahly, Wekundu hao wa Msimbazi wamejihakikishia malipo ya Dola za Marekani 1,000,000 zilizotangazwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) linalosimamia Ligi ya African Football(AFL) Michuano hiyo iliyoanzia hatu ya Robo Fainali, ilianza kwa kuvijumuisha Vilabu vya Enyimba FC […]
DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa jumuiya ya waandishi wa Habari JUMIKITA Shabani omari matwebe Amesema jambo lolote ambalo linakuwa na tija na linahusika na wananchi inapaswa waandishi wa habari kuliunga mkono Kwa kulichukua na kulifikisha Kwa jamii Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 24,2023 Mwenyekiti wa jumuiya ya waandishi wa […]
Mradi wa JNHPP umefikia asilimia 92.74 JNHPP kuwa Mradi wa mfano Afrika Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatamani Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uanze mapema ili Watanzania wapate umeme wa uhakika. Hayo yameelezwa leo Oktoba 24, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]
MABONDIA Dullah Mbabe wa Tanzania na Erick Katompa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) wanatarajia kuzichapa Novemba 25 jijini Arusha. Hayo yamebainishwa na Promota wa Pambano hilo Mkurugenzi wa Kampuni ya Lady in Red Promotion Sophia Mwakagenda akizungumza na waandishi wa habari wakati mabondia hao wakisaini mkataba kwa ajili ya Pambano hilo. “Leo […]