Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 137)
FEATURE
on Oct 30, 2023
254 views 3 mins

Kwa mara ya kwanza Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano wa masuala ya wanyamapori, kilimo na misitu. Akiongea na waandishi wa habari leo mara baada ya kufungua mkutano wa 24 wa Kamisheni ya Afrika ya Misitu na Wanyamapori (AFWC24) na wiki ya Nane (08) ya Misitu na Wanyamapori Afrika (AFWW8) jijini Arusha, Waziri […]

FEATURE
on Oct 29, 2023
295 views 3 mins

DAR ES SALAAM; Idara ya Habari (Maelezo), imeandaa programu maalum ya kuwakutanisha Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote kwenye kila mkoa pamoja ili waeleze utekelezaji wa masuala mbalimbali katika maeneo yao. Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema Serikali inapeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri zake nchini […]

FEATURE
on Oct 29, 2023
388 views 2 mins

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki amesema kuwa Serikali itaendelea kuwaunga mkono TANAPA kuhakikisha wanapata vifaa vingi vya kisasa kwa ajili ya ulinzi wa maliasili ili kukuza utalii katika Hifadhi za Taifa. Kikao cha Waziri Kairuki pamoja na maafisa na askari hao kimefanyika leo tarehe 28.10.2023 katika Makao Makuu ya Shirika hilo yaliyopo […]

FEATURE
on Oct 27, 2023
187 views 2 mins

Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania Chini ya Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda imeridhishwa na Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo Katika mikoa ya Tanzania Bara mara baada ya kufanya ziara zake za Kupitia na kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo Nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo […]

FEATURE
on Oct 26, 2023
492 views 3 mins

Katibu mkuu wa NEC Itikadi na uenezi ccm Taifa Paul makonda amewataka mawaziri wote na wakuu wa mikoa akiwakilisha mkuu wa mkoa Albert chalamila kuwa pale patakapobainika hawajafanya kazi zao kikamilifu chama hakitasita kuchukua hatua Akizungumza jijini Dar es salaam Leo Alhamis 26,2023 Katika viwanja vya ccm ndogo lumumba wakati akipokelewa na akikabidhiwa ofisi amesema […]

FEATURE
on Oct 26, 2023
238 views 2 mins

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abbas Mtemvu amewataka viongozi wa serikali waliopata nyadhifa kuanzia ngazi ya Serikali za Mitaa ,Wilaya hadi Mkoa kushirikiana na Madiwani na Wabunge wa Viti maalumu wanapotaka kufanya ziara katika kata kujua changamoto zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi. Agizo hilo amelitoa leo Jijini Dar es salaam Katika Shughuli […]

FEATURE
on Oct 26, 2023
265 views 2 mins

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dr. Rashid Chuachua amesema shughuli za uhifadhi na Utalii hususani Uwindaji wa Kitalii zinazofanywa na kusimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) zina faida kubwa wilayani humo. Ameyasema hayo Oktoba 24, 2023 katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa jamii iliyofanywa na TAWA wilayani Kaliua. […]

FEATURE
on Oct 26, 2023
198 views 3 mins

TAFIRI watakiwa kuwa kimbilio la wavuvi Asisitiza utunzaji wa mazingira kupewa kipaumbele Ahimiza kuongeza kasi kuuza bidhaa nje ya nchi Dkt. Biteko Azindua ‘App’ kusaidia Sekta ya Uvuvi Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Sekta ya Uvuvi nchini kuifanya Sekta hiyo kuwa nyenzo muhimu […]

FEATURE
on Oct 26, 2023
189 views 3 mins

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amezindua mashine ya kuchanganya virutubisho kwenye vyakula na kuwaomba wadau wote wa maendeleo kuunga mkono juhudi hizo ili kuwezesha mashine hizo kuzalishwa kwa wingi kutumika katika maeneo yote hapa nchini. Mashine iliyozinduliwa inatumika kuongeza virutubisho muhimu katika vyakula hususan unga wa mahindi, virutubisho hivyo ni pamoja na vitamin B na folic […]