Dar es Salaam -MADINA MOHAMMED Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, tarehe 16 Novemba, 2023 wakati […]
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa “Ibara ya 6.4” ya Mkataba wa PARIS, ambayo inalenga kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi duniani kote. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini, Mhe.Tone Tinnes ambapo mazungumzo yao yalijikita katika maeneo ya ushirikiano katika Sekta ya Nishati ikiwa mwaka huu nchi ya Norway imetimiza miaka 50 ya ushirikiano wake na Tanzania katika Sekta ya Nishati. Katika mazungumzo […]
Aagiza kituo cha Polisi, Afya, Taa za Barabarani kuwekwa Kijiji cha Msimbati Wananchi Kijiji cha Songosongo kupatiwa umeme, Maji, Kivuko Aagiza Vijiji vya Msimbati, Madimba na Songosongo kupata gawio la Ushuru wa Huduma Ataka TANESCO kuja na suluhisho la changamoto ya umeme Lindi/Mtwara Mtwara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]
Moja ya jukumu la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ni kukagua mbolea zinazozalishwa nchini au kuingizwa nchini kutoka nje ya nchi kabla ya kumfikia mkulima. Jukumu hilo ni takwa la kisheria na linatekelezwa kikamilifu ambapo kila muingizaji wa mbolea huhakikisha mbolea yake inakaguliwa na kupewa kibali cha kuingia sokoni. Leo tarehe 14 Novemba, […]
Aagiza Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja Tanesco kuondolewa Asisitiza miradi ya mafuta ya Gesi Asilia kubadilisha maisha ya wananchi Msimbati – Mtwara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutokana na kushindwa kutoa taarifa mbalimbali na kutofanya mikutano […]
Kituo Kujaza gesi kwenye magari 800 kwa siku Serikali kuwapa ushirikiano wawekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mipango ya Serikali kuchochea matumizi […]
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Komredi Paul Makonda akiendelea na ziara yake katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa amefika kumsalimia Bibi Suzana Magufuli ambaye ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Nyumbani kwake Chato mkoani Geita Makonda anaendelea […]
Kampuni ya bima ya afya ya jubilee Leo imezindua mpango wa ustawi unaoitwa MAISHA FITI Katika soko la Tanzania kwani kampuni hiyo inaashiria hatua muhimu kuelekea kujitolea Kwa kampuni kukuza ustawi wa kimwili na akili kwa wateja wake Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo ijumaa 10,2023 Katika viwanja vya farasi mkurugenzi […]