Ataka miradi inayofadhiliwa na Wadau wa Maendeleo pia ifuatiliwe na kufanyiwa tathmini Awaasa Maafisa Mipango kutembea kifua mbele, wao ni wadau muhimu Serikalini Aagiza watoe elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutoa maoni kwa ajili ya maendeleo ya nchi Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango […]
Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa Ujenzi kwa kiwango cha lami Barabara ya Kongwa Jct- Ng’ambi -Mpwapwa yenye kilometa 32. Bashungwa ameeleza hayo kwa njia ya simu wakati alipotakiwa kutoa ufafanuzi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa – UWT, Mama Mery Chatanda […]
Akemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme, Asema Serikali iko kazini, Itawashughulikia Ataka TANESCO kusikiliza na kujibu Wateja kwa haraka Asisitiza utunzaji wa Mazingira Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama za kutumia umeme ambapo Shirika hilo […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii ya watanzania kushirikiana na serikali na asasi za kiraia kupambana na matendo ya ukatili dhidi ya wanawake watoto na wenye ulemavu. Amesema ili kupata matokeo ya haraka, wanajamii wahusishwe kuanzia hatua ya upangaji wa mikakati ambayo itatumika kutekeleza afua zinazohusu jamii yao. “Namna hii itawawezesha kuzikubali afua […]
Chama Cha Wananchi CUF kimelaani vikali Kwa kuvunjiwa mkutano wao ambao ulikuwa unafanyika Katika viwanja vya buguruni sheli na polisi kuwakamata viongozi 7 bila ya kuwa na kibali maarum Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa chama Cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba Amesema amehuzunishwa na kitendo hicho Kwa kukamatwa Kwa […]
Awataka kuchukia rushwa na kulinda Maliasili kwa Wivu Mkubwa* Apongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi wa Sekta Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametunuku vyeti vya ngazi mbalimbali kwa wahitimu 439 wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori cha Mweka, mkoani Kilimanjaro ambapo amewaasa kuwa chochote watakachofanya kuchukia […]
Na Beatus Maganja Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Dr Simon Mduma amesema mpango mkatati wa kibiashara wa kuendeleza shughuli za utalii eneo la Makuyuni Wildlife Park uliondaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA unatarajiwa kuiingizia Serikali mapato makubwa ikiwa ni pamoja na kunufaisha jamii zinazozunguka eneo hilo Dr Mduma […]
Ikiwa ni ziara yake ya pili waziri majaliwa mpaka Sasa na akiendelea kutembelea mkoa wa songwe akitembelea vijiji vitongoji na Halmashauri zake na kutembelea miradi mbalimbali na akizindua miradi ya Ruwasa,shule, hospital Waziri majaliwa Amesema ziara yangu ni maarumu Kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo inayojengwa Katika maeneo ya wananchi “Miradi hii ambayo Dkt.Samia […]
Waziri mkuu kassim majaliwa Leo amezindua mradi wa umeme wa REA vijijini na vitongoji Katika mkoa wa songwe Waziri ameyasema hayo wakati akiwa Katika ziara yake ambayo inayoendelea Katika mkoa wa songwe na ameyazungumza hayo akiwa Katika Kijiji Cha Udugura Amesema jukumu Moja sisi wasaidizi Mhe.Rais Samia ametupa ni kuhakikisha kila mtanzania anaishi kwenye nyumba […]
Kabila la Ovahimba ambalo linapatikana kaskazini mwa nchi ya Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima na baraka kutoka kwa mgeni. Mgeni wa kiume anapowasili kwa siku ya kwanza huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa. kama […]