1.Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana […]
Na Beatus Maganja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna Benedict Wakulyamba ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya utendaji mzuri wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA katika kulinda rasilimali za nchi bila kujali vipingamizi vinavyo jitokeza katika utekelezaji wa majukumu hayo ya kitaifa Ameyasema hayo wakati wa ziara yake […]
Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]
Kanisa la Spirit Word Ministry lililofungiwa usajili Kwa sababu ya kutuhumiwa kusapoti maswala ya ushoga na serikali kulifungia kanisa hilo Mnamo Mwezi WA 3,2023 na serikali kusimamisha huduma na kufunga ukumbi waliokuwa wanafanyia huduma Awali serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kushirikiana na polisi limeweza kumfutia tuhuma hizo baada ya polisi kujilidhisha na […]
Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally’s lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.
Taasisi ya Jai ni Taasisi ya kujitolea ambayo inayowasaidia wagonjwa wasiokuwa na ndugu na wale wasioweza kumudu gharama za matibabu Katika hospital ya Rufaa Mkoa Mwananyamala wilaya ya Kinondoni. Taasisi hiyo ya Jai imeandaa kongamano na ndani yake kutakuwa na harambee ambalo kusudio kubwa ni kuchangia na kuwasaidia waitaji ambao ni wagonjwa wasiojiweza ambao kipato […]
CPC yaahidi kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Uchumi, Elimu na Masuala ya Kijamii Dar es salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara […]
Washiriki wa michezo lililoandaliwa na Shirikisho la michezo yaMashirika, Taasisi za Umma na Binafsi (SHIMMUTA) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wamerejea na kukabidhi makombe mawili ya ushindi wa kwanza waliyoyapata wakati wa ushiriki wao katika michezo hiyo. Akipokea makombe hayo ikiwa ni la ushindi katika mchezo wa pool table na kukimbia ndani […]