Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 13)
FEATURE
on Dec 15, 2024
56 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

FEATURE
on Dec 15, 2024
59 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KATAVI Wananchi wafurahia uwepo wa TAWA Halmashauri ya Wilaya ya Mlele imepokea gawio la Shillingi Millioni 210 kutokana na shughuli za uwindaji wa kitalii zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA wilayani humo. Gawio hilo ni asilimia 25 ya fedha zitokanazo na faida inayopatikana kutokana na shughuli za […]

FEATURE
on Dec 15, 2024
59 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni* Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana* Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kujenga misingi ya kusaidiana kuheshimiana na kuvumiliana ili kufanikisha malengo wanayojiwekea kimaendeleo. Dkt. Biteko ametoa […]

FEATURE
on Dec 15, 2024
90 views 11 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Polisi Mkoa wa Kipolisi Rujifi inawashikilia Watu wawili, mmoja akiwa na asili ya Kiasia kwa tuhuma za kukutwa na shehena ya nyaya za shaba zilizoibwa katika Miundombinu ya Umeme – TANESCO na Shirika la Reli Tanzania (TRC). taarifa ya Jeshi la polisi imeeleza kuwa Watuhumiwa hao walikutwa na copper block 426 […]

FEATURE
on Dec 15, 2024
61 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA ADC Limited Tanzania Kwa kushirikiana na Equity Bank wamefanya semina ya kuwafunza wajasiriamali wanawake Kwa kuwapa elimu ya fedha na Uwekezaji na kuweka Bajeti na kujitenganisha na biashara zao Hayo ameyasema Leo na Meneja wa wanawake na vijana kutoka Equity Bank Jackline Jacob Temu Amesema Equity Bank waliazisha […]

FEATURE
on Dec 14, 2024
49 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Akabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya mamilioni ya fedha katika Jimbo la Chwaka* MWAKILISHI wa Jimbo la Chwaka visiwani Zanzibar ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu((NEC) Oganaizesheni Issa Gavu amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi imefanya maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi […]

FEATURE
on Dec 14, 2024
87 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo itakayofanyika hivi karibuni katika Kliniki ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Kawe. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter […]

FEATURE
on Dec 14, 2024
57 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Tar.13 Desemba 2024, imefanya mafunzo kwa Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) jijini Dar es Salaam, huku msisitizo ukiwa kwenye uvunaji wa maji ya mvua katika kukabiliana na upungufu wa huduma za maji katika maeneo […]

FEATURE
on Dec 13, 2024
59 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA